Ombi: Serikali ya Tanzania ipeleke agenda African Union (AU) ya kuwakatia eneo la makazi waafrika waliochukuliwa utumwani ili warejee nyumbani

Zamani waafrika walilazimishwa kwenda utumwani siku hizi wanajipeleka wenyewe kwa hiari.
 
Mwafrika mmoja tu anauwawa wanaandamana wote waje Africa dikteta mmoja anauwa waafrika elf 20 na Hakuna anayeandamana watu wako bize na yao
 
Diwani kuona article ya kijinga kama hii katika maisha yangu!!! Yani mtu atoke manhatan ls vegas, south carolina, texas,atlanta,new york................... Dodoma???? Unataka kuniambia USA kuna ubaguzi kuliko Tanzania???? Heri nikabaguliwe kwa nchi za watu kuliko kubaguliwa na ccm kisa nina mawazo tofauti never never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…