Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Hapa nchini tuna dini kuu mbili kubwa, Wakristu na Waislam.
Dini hizi zina lugha zao rasmi kwa mfano
1. Wakristu Wakatoliki wao ni Kilatini japo hapa kwetu ni majanga.
2. Waislam wote ni Kiarabu.
Nimesema lugha rasmi kwa maana ya sala ila kwenye mahubiri hutumia lugha za Taifa au mama sasa inashangaza kumuona kiongozi wa dini ambae kaalikwa na serikali katika maombolezo anatumia lugha ngeni ( Kiingereza ) katika mahubiri yake kana kwamba hakijui Kiswahili.
Hii ni katika maombolezo ya msiba wa hayati JPM.
Ombi langu viongozi hawa wasialikwe kwenye hafla hizo.