kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Happy bday mungu akujalie maisha marefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lol..nimekumis kweli dear!
Naona hatuonani kwenye hii nyumba kubwa.....mzima lakini wewe?
![]()
Happy birthday to Maria
Happy birthday dear Mariaaaaa
Happy birthday to meeeeeee
Karibuni kuimba na kusherekea nami wapendwa:msela::msela::msela::msela::msela:
Mwalimu wako wa kiswahili alikua na haraka sana eh?heheeh "hongela" kwa kuzaliwa, usilie sana naenda kukuletea kinyonyo yako.
Hope u mzima my dear Michelle...have missed you...Happy Birthday Maria.
Mungu azidi kukubariki na kukutunza....
Furahia siku yako!