Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
- Thread starter
- #61
unamiaka mingapi?
26 dia :A S 465::A S 465:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamiaka mingapi?
Happy Birthday dada! (Moment silence) jiulize wewe leo una umri wa kutosha? Umempa nini mungu ili ufike hapo ulipo? hakuna, ni wangapi walilia kufika umri wako lakini hawakufika (wako wengi sana), Sifa na utukufu mpe yeye, ni mwaminifu, kila unachoomba utapewa. Mfanye kuwa kiongozi wa maisha yako, usiache neno lake hata moja.
Nakutakia kila la kheri! Mungu akupe kila lililo jema, akupe macho ya IMANI ukapate kuona mbali, yaliyo mema tu.
Happy Birthday to you...
Happy Birthday to you...
Happy Birthday Maria Roza...
Happy Birthday to you...
Have a great day....
MR....sijui nikakupie hepi besidei kule chumbani?
Happy birthday MR.....zidi kuchanua...
heheeh hongela kwa kuzaliwa, usilie sana naenda kukuletea kinyonyo yako.
Happy Birthday MR leo jioni tukutane paree paree
Happy birthday MR , wish you a blessed life.
Happy Birthday Maria.
Mungu azidi kukubariki na kukutunza....
Furahia siku yako!
Mwalimu wako wa kiswahili alikua na haraka sana eh?
Heri ya Siku ya kuzaliwa Maria Roza!
Mungu akubariki, kukuongoza na kukulinda katika njia zako zote!
happy bday swty,God bless you sana.
![]()
always jf family wish u all the best but to day is a special day for you. happy birthday to you