Omg its ma birthday!!!

Omg its ma birthday!!!

happy birtyday happy birthday happy birthday to youuuuuuu! :director: :director: :director:

shukrani Elia hilo ua si unipe mie kama mrembo hataki kupokea hahhah
 
Happy Birthday Maria Roza wa ukweli, tumia siku hii kutafakari nini umefanya katika siku 365 toka uzaliwe mwaka jana. Samehe wote waliokukosea na uwaombee sana wazazi wako wawe na maisha marefu.

asante san mzee wa Rula kwa ujumbe mzuri nazidi mshukuru Mungu kwa mema yote alionitendea,
wazazi nawaombea na kuwaweka katika sala zangu kila siku
amen
 
happy birthday maria roza !,
kila jema liwe sehemu ya pumzi yako,
upatapo changamoto utumie zaidi hekima na busara ktk kupata ufumbuzi wake.


Aaamen nnunu ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri karibu cake :A S 465::A S 465:
 
Happy Birthday MariaRoza,
God bless you with an everlasting happiness, good health
and may your wishes be granted.:A S 465:

Ohoo asante sna XYLN kwa wishes ubarikiwe sna
nice avatar :A S 465::A S 465::A S 465:
 
Heri ya kuzaliwa MR...nimekuandalia bonge la keki mpenzi sijui ntakupataje!!!
 
Happy Birthday, hiyo keki nimependa rangi zake.

Ndio uliyokula, I hope tamu kama inavyovutia

Usinitamanishe sana
 
Possibly I might be the last, but not the least.
HERI YA KUZALIWA DADA
MUNGU AKUJALIE UMRI MREFU
ULIOBARIKIWA KWA AFYA NJEMA
UPENDO, AMANI, BAHATI, MAPENZI
NA FURAHA TELE.

Happy Birth Day Dada
 
Back
Top Bottom