Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
According to In Touch;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hee kweli au kina shigongo wa abroad wapo kazini......
kwanini isiwe majuu wamemuiga shigoKumbe Shigongo kaiga kazi za majuu aisee
hivi yule kaka yake kanye alikuwaga beki wa timu ya nigeria anaitwa taribo west yupogo wapi? tumuulize huenda anajua mambo ya mdogo wake.

Kama ni kweli basi Kim alitaka kuondoa nuksi ya unungayembe!
Mmh Kanye doesn't have the balls to leave Kim. Itakuwa tu ni udaku wa majuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums