Omkyala wange-anengozi

Omkyala wange-anengozi

Status
Not open for further replies.
What the heck is this in the first place. Hivi kila mtu akija na lugha yake kweli tutafika? Kwanini msifungue Forums zenu za lugha zenu ili tusiohusika tusikereke na kukwazika? Hakuna ugonjwa mbaya kama ukabila ambao mara nyingi hupofusha na kuwafanya wanaoonekana kuwa wasomi majuha wa kawaida. Angalieni yaliyotokea Burundi, Kenya, Kosovo na Rwanda jamani. I hate this stuff so to speak.
 
Teteteeeeeeeh kwikwiiiiiiiih wajameni shiluga sha kwapi chenecho baaah mbona kuvunja
 
Ukabila mtupu...ngoja nisepe zangu mie nilikosea njia,kumbe kuna watu wanazungumza lugha ya makabila,katika karne hii bado wanapanda bus la makabila...
 
peleka hii kitu love connect! (mods u can help)
Halafu heading iwe namtafuta Mdada wa Kihaya
Sifa
Awe mkristu
Awe na diploma au degree
Awe mhaya na bla bla zako za KuPMiwa


Kuwa unadegree ya uhandisi na unafanyia kazi Dar!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom