Ommy dimples na Rooney wanakula bata viwanja

Hivi ukitumwa kumpeleka Rooney wa man u utampeleka huyo jamaa!?wabongo bwana.
 
Kama aliomba selfie inakuaje Dimpoz ndio kashikilia Simu
 
Nimeipenda pua ya rooney if u know what am saying
 
Bora uwe mkwel tu dimpos ndiyo kaomba selfie.. Ila safi sana
 
Kafika Ibiza! Ndo maana kaomba! Wewe ujafika unabishana Sim kashika nani!?.Safi sana bro K.P.K.
 
kuna wengine wanakufa hata Nairobi hawajawahi kufika...life is not fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…