Ommy dimples na Rooney wanakula bata viwanja

Ommy dimples na Rooney wanakula bata viwanja

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,455
91315dbd172a3bfcec4a3731fe55c505.jpg


Kutoka kigoma mpaka Spain wamegongana na mzee wa vidimples huwezi kuamini rooney ndio aliomba selfie hutaki mbishi
 
Hivi ukitumwa kumpeleka Rooney wa man u utampeleka huyo jamaa!?wabongo bwana.
 
Kama aliomba selfie inakuaje Dimpoz ndio kashikilia Simu
 
Nimeipenda pua ya rooney if u know what am saying
 
Bora uwe mkwel tu dimpos ndiyo kaomba selfie.. Ila safi sana
 
Kafika Ibiza! Ndo maana kaomba! Wewe ujafika unabishana Sim kashika nani!?.Safi sana bro K.P.K.
 
kuna wengine wanakufa hata Nairobi hawajawahi kufika...life is not fair
 
Back
Top Bottom