Hehehe he is an idiot. Kwani hana PR manager! Kameingia kwenye game juzi tu hapa tayari kanajifanya kajuaji.
Sikia ww dimpoz sijui nenda underground, unavojifanya kuomba msamaha hivi public hakukusaidii lolote zaidi ya ku expose upumbavu uliosema. Ww kaa kimya hata 6 months hivi, wabongo watasahau siku 2 tu. Then ndio unarudi kwa game ado ado after hibernation. Hii ya kutoka kwenye mass media unaomba msamaha haikusaidii kitu, tena kuna wengine ndio wanapata ari ya kukumaliza kabisa!
Hehehe hope u have learnt your lesson.