Ömmy Dimpo afunguka

Ömmy Dimpo afunguka

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,021
Reaction score
189
Baada ya kupopolewa mawe na chupa kwenye show Dodoma,hiki ndicho alichosema
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372060543416.jpg
    uploadfromtaptalk1372060543416.jpg
    11.5 KB · Views: 827
Wala hatuta msamehe mpumbavu kama huyo.
 
Wamemwonea sana kwanini wasimpopoe mawe diamond anaewapigia kampeni maccm, wabongo tunamind vitu vya kipuzi sn na kuacha vitu vya maana
 
Wamemwonea sana kwanini wasimpopoe mawe diamond anaewapigia kampeni maccm, wabongo tunamind vitu vya kipuzi sn na kuacha vitu vya maana

Ni heri diamond anaewapigia debe CCM anaingiza mahela, kuliko u.pu.uzi aloongea huyu shostito!!!!
 
HEEE, kuna tofauti ya marehemu tajiri na marehemu maskini?
akizikwa haozi au!!!!!!!!!
 
msaameeni jamani, mtamfanya asiende choo siku sio nyingi, me namuonea huruma japo si mfuatiliaji wa miziki ila anatia huruma sana, namshauri hivyo vishilingi alivyonavyo avitumie kwa makini ikiwezekana atafute kamradi kakujikimu kwani inaweza kuwa ndo mwisho wake kwenye game.
 
Ni kweli kabisa wanamuonea sababu kile alichosema kilishasemwa na wanamuziki na wasanii wengi kwa nia nzuri tu...mfano SUGU kwenye mazishi ya mangwea morogoro alisema...'Tunaomba serikali ilinde haki ya kazi za wasanii sababu tumechoka kuzika wasanii maskini wenye majina makubwa'...sasa hii kauli inatofauti gani na ya Ommy Dimpoz pamoja na mapungufu yake ambayo kila mtu anayo lakini kwa hili anaonewa na yote haya ni sababu ya magazeti ya SHIGONGO.
 
Hehehe he is an idiot. Kwani hana PR manager! Kameingia kwenye game juzi tu hapa tayari kanajifanya kajuaji.
Sikia ww dimpoz sijui nenda underground, unavojifanya kuomba msamaha hivi public hakukusaidii lolote zaidi ya ku expose upumbavu uliosema. Ww kaa kimya hata 6 months hivi, wabongo watasahau siku 2 tu. Then ndio unarudi kwa game ado ado after hibernation. Hii ya kutoka kwenye mass media unaomba msamaha haikusaidii kitu, tena kuna wengine ndio wanapata ari ya kukumaliza kabisa!
Hehehe hope u have learnt your lesson.
 
Amekuwa muungwana ameonyesha hekima amekubali kosa ameomba msamaha la kubwa kuliko yote ni kusema ataendelea kuwapenda wana Dom hata baada ya yaliyotokea
Amekosea lakini katikati ya makosa yake ameonyesha hekima ni wasanii wachache mno wangeweza kufanya alichofanya OD hata baada ya kupopolewa mawe si Tanzania tu hata kwingineko duniani
Umeteleza hujaanguka nextime be careful na speech zako popote utakapokuwa
 
Mzimu wa Ngwea utamuandama popote aendapo.!!
 
ndo ilivyo kwa watu wabaya OMMY DONT WORRY!YAANI WOTE WASEME AKISEMA YEYE !SIJUI TUMSAIDIEJE ILA KIFUPI ANAONEWA!
 
wabongo tungekuwa tunauchukia umasikini kwa kiwango tunachochukiana wenyewe basi tanzania sasa ingekuwa nchi ya kipato cha kati.
 
Back
Top Bottom