Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kui-support CCM lazima uwe na akili za maiti...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa na jinsi njaa ndio imemfikisha hapo.........
2010 nilionya kuwa Marlow atapotea na hata Mr.Nice 2000 na 2005.
Kufikiria karibu badala ya mbali ndiko kulikotufikisha huku
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni mkosi mkubwa kwenye maisha yako. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.
Ni vema wasanii hawa wakatambua mapema kwa hali ya uchumi,Na kisiasa sasa hivi hapa nchi ilivyo vipo vyama vya kushabikia lakini sio CCM la sivyo watajikuta hata muziki wao hausikilizwi wala kununuliwa tena.
View attachment 226036