Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Huyu nae hata kujitetea hajui,kwani macho hana kuweza kujua kwamba vile viatu vinaonekana vya kike na kile ki skin touser chake!!! Bora hata domo alievaa sketi,sio kila fashion ya kuiga !!!!
 
Kwan tumemuuliza kanunua pea ngapiiu bwana! !??tunajua yupo na mheshimiwa first class anagharamiaa ye ale mema ya nchi

Mwenzangu na hizo pesa anapata wap kwanza?? Mmh huyu ommy huyu awe na kias , bora mwenzie martin ana cha kuzugia biashar yake ya u design inaficha mengi , sasa yeye ata kaz hana kihivyo sokon na show sio za kihvy, iweje achuane na diamond kutwa ulaya?? Mwenzie anastahil , na yeye je ?? Mmh
 
Woiii mie kwelii siwezii ongozana na mwanaume aliyevaa hivii...aibuu fashion nipitee kama mafuriko ya jangwanii..! Sitashangaa ktaa kukutana na wanaume kama mabintii wamevaa hizi simple
 
ukishaujua mwili wako unataka nguo gani haikupi tabu!
 
Waswahili umasikin wenu unawafanya muwe watu wa majungu sana, kwani Ommy kwenda ulaya basi imekuwa nongwa? Mlitaka aende nani sasa kama sio wivu tu wa kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…