Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Huyu nae hata kujitetea hajui,kwani macho hana kuweza kujua kwamba vile viatu vinaonekana vya kike na kile ki skin touser chake!!! Bora hata domo alievaa sketi,sio kila fashion ya kuiga !!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan tumemuuliza kanunua pea ngapiiu bwana! !??tunajua yupo na mheshimiwa first class anagharamiaa ye ale mema ya nchi
haiingii akilini mwanaume avae pedo ya pink na viatu vya pink. ajitazame upye huyo
Jamaa ana mguu katuzid hadi sie wadada lol bia bia wine wine lolllll
Mbona hata rangi sio kawaida sana kwa wanaume..!
Guu la moet hiloo dina!!
Swagga za kishoga
ommy dimpoz ''mapoz kwa poz''....come on people what else do you want...?
Waswahili umasikin wenu unawafanya muwe watu wa majungu sana, kwani Ommy kwenda ulaya basi imekuwa nongwa? Mlitaka aende nani sasa kama sio wivu tu wa kijinga.
Wewe tajir n usiyependa majungu humu umefuata nn ?
Kafuata umasikiniii wa majungu
Jamaa Ana mguu wa bia