Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Loh nilijua model wa kike ana advertise hizo pedo na viatu..mh
 
aiseee hivi viatu ni vya kike kabisa
 
Jamani nimepatwa na mshtuko kuna lijamaa hapa karibu limevaa viatu kama hivyo na mbaya zaidi mbele kuna mauwa.

hawa wasanii wasichekewe kumbe mpaka mashabiki wao mbumbumbu wanaiga huu uchoko?
 
hii picha ya sikuiangalia vizuri leo nimejipa muda kuiangalia dah!....ukiangalia vizuri pale juu ya mapaja kwenye kitenganisho cha mguu wa kulia na kushoto kwenye mstari wa ikweta nimegundua kumejiachia kifundi sana kwa huyu mtoto omar!....sijui nini siri na mafanikio maana hata alivyoketi katika hiko kiti kuna uwazi kwa mbali!kakaa kiburudani sana
 
Mwanaume kamili huwez vaa hivo ...hawa watoto wa siku hizi wanatia hasira sana
 
Kumbe ndugu yetu alianza siku nyingi michezo ya kigasho dah!
 

Hapa naona amevaa kama sista du ,hakuna utetezi wa maana utakaobadilisha hapa.
 
Wanaume wote wa Dar wanavaa hivyo sasa sijui tuwaweke kwenye kundi gani.
 
niliwahi kusikia kuna kiongoz mkubwa aliyewahi kuhama upinzani mmmoja kwenda mwingine ndio alikua anamutomba jamaa
 
Yale madai ya yule msanii kudai Pozi kwa pozi hapigi mechi yanadhihirika taratibu..
 
leo nimeshuhudia post nne kama sio tano za kumuhusu huyu mtu mmoja..!!sijui mnamkakati gana wana bongo fleva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…