Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Jamani nimepatwa na mshtuko kuna lijamaa hapa karibu limevaa viatu kama hivyo na mbaya zaidi mbele kuna mauwa.

hawa wasanii wasichekewe kumbe mpaka mashabiki wao mbumbumbu wanaiga huu uchoko?
 
hii picha ya sikuiangalia vizuri leo nimejipa muda kuiangalia dah!....ukiangalia vizuri pale juu ya mapaja kwenye kitenganisho cha mguu wa kulia na kushoto kwenye mstari wa ikweta nimegundua kumejiachia kifundi sana kwa huyu mtoto omar!....sijui nini siri na mafanikio maana hata alivyoketi katika hiko kiti kuna uwazi kwa mbali!kakaa kiburudani sana
 
Mwanaume kamili huwez vaa hivo ...hawa watoto wa siku hizi wanatia hasira sana
 
Kumbe ndugu yetu alianza siku nyingi michezo ya kigasho dah!
 
Picha ya cover la Vibe Magazine, lililotoka siku ya jana, imeonekana kutengeneza gumzo miongoni mwa raia kibao, hasa kutokana na suruali na viatu alivyokuwa amevaa msanii Ommy Dimpoz.

watu wengi waliokutana na picha hiyo wameifananisha suruali hiyo na nguo maarufu kwa akina dada "kipedo" huku wakidai kuwa viatu alivyovaa ni vya kike.
Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz amefunguka ya kwake juu ya madai hayo na kusema....


"Viatu sio vya kike kwasababu, ukisema viatu vya kike it means labda umeende ku-shop kwenye duka la vitu vya kike, na viatu vile mi nimenunua South africa, kipindi tumeenda kumsapoti AY kwenye Channel O. nakumbuka tena siku ambayo nimeenda ku-shop nilikuwa na Dulla Spatan, nilinunua kama pea ishirini thelethini, zilikuwa pea nyingi, unajua nsometimes unaweza kuingia kwenye maduka ukakuta kuna sale nini, kwahiyo nilikuta, galafu na vile vilikuwa ni vyepesi havichukui kilos, kwahiyo nikanunua nunua vile vingi, lakini nime-shop kwenye Mr Price nakumbuka, vilikuwa ni simple......"
"sidhani kama watu wameichukuliaje lakini may be labda fashion ndio imenikosti, lakini naona ni viatu vya kawaida na watu wanavaa, hata ukiangalia ma designers nini hata watu wengi wanavaa, kwahiyo kwa kununua mi nimenunua sehem ya vitu vya kiume na hakikua kimoja kusema labda wamekosea wamekiweka sehem tofauti, ni kwamba viko vingi na design tofauti...." amesema Ommy

Hapa naona amevaa kama sista du ,hakuna utetezi wa maana utakaobadilisha hapa.
 
niliwahi kusikia kuna kiongoz mkubwa aliyewahi kuhama upinzani mmmoja kwenda mwingine ndio alikua anamutomba jamaa
 
Yale madai ya yule msanii kudai Pozi kwa pozi hapigi mechi yanadhihirika taratibu..
 
leo nimeshuhudia post nne kama sio tano za kumuhusu huyu mtu mmoja..!!sijui mnamkakati gana wana bongo fleva
 
Back
Top Bottom