Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Kuna jamaa mtaani kwetu hapa ni shoga,ndo anavyovaa,viatu kama hivo vijana wa Africa magharibi hasa wanaoongea kifaransa kama Ivory coast huwa wanavaa sana,ila kuhusu hiyo trouser ni ulimbukeni tu imekaa kikike sana,angalia tu alivyokaa na ilivyombana mapaja yamejichora kama wa kike kabisa
Sawa. What about colour?? Kama ivory coast wanavaa vya rangi gani hapo hata rangi ya hizo nguo inatia mashaka
 
~~~~>>>>Mwanaume rijali unawezaje kujiita "Ommy Dimpoz"????........
 
Hahahahahahaha dimpoz kwa poz na mapoz ya ki rivas, bado Ku change motion tu hapo......sasa mbona hujaongelea hako kanguo uliko vaaa in NAY WA MITEGO voice
 
Tatizo ulimbukeni mwingi sana.

Kwa hiyo anavaaa kwa kuiga watu wengine.

Pumbavu zake.
 
Hii ndo tabu ya mtoto wa kiume ukijiona na ww mlimbende
 
South Africa ni maarufu kwa hao ma gay. Hata rangi za hiko kipedo ni za gay. Ajikubali tu. Wenyewe wanaita 'coming out'
 
Nguo isiwe ushahidi; atokee mwanaume aseme ukweli kuwa aliwahi kumdo;
vinginevyo mnamhukumu tofauti.
 
Nguo isiwe ushahidi; atokee mwanaume aseme ukweli kuwa aliwahi kumdo;
vinginevyo mnamhukumu tofauti.
Hahaaa mshiki huo ushahidi ni mgumu sana ila vijana wenzake wanasema ni mchicha mwiba istoshe dem wake hajulikani,ukiwa maarufu kila kitu chako kitajulikana hata ujificheje
 
mavazi muda mwingine hutoa picha halisi ya mambo apendeleayo mtu.aavaye suti anapenda maisha ya heshima hata kama ni tapeli,wanoavaa nguo fupi sana hususani akina dada,watu hutafsiri kuwa ni Malaya.....
 
Mke wa mwarabu ishajulikana endelea kuvaa kua huru jiachie jikubali kama kina kaoge
 
Back
Top Bottom