Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

Mambo kama choices, hobbies huonyesha muelekeo wa mtu.

Ukiingia na mtoto wa kiume supermarket alafu akaishia kuchagua Midoli a.k.a Wanasesere, vijiko, bakuli, sahani, choclate, chanuo....sio dalili njema...tafuta mtaalamu wa saikolojia haraka iwezekanavyo akusaidie.

Toto la kiume ukienda naye shoping mall, ana miaka minne lakini mkifika show room ya pikipiki (tuseme sio Toyo) anagoma kuendelea na safari....analia umnunulie pikipiki......ingawa hata ukimvalisha Helmet tu hainuki.....lakini utajua una dume.
 
Ndugu huyu kuvaa vya kike au vya kiume ninyi inawahusu nini yeye mwenye kachagua hivyo mwacheni
 
Nafikiri kwa tamaduni zetu bado tuna mawazo mgando viatu vya kiume lazima viwe vigumu gumu vikubwa! Nchi za wenzetu wanaume wanavaa hivyo viatu especially summer! Sioni tatizo ktk viatu ni simple sneaker, angevaa skuna ningeshtuka.
 
Kuna jamaa mtaani kwetu hapa ni shoga,ndo anavyovaa,viatu kama hivo vijana wa Africa magharibi hasa wanaoongea kifaransa kama Ivory coast huwa wanavaa sana,ila kuhusu hiyo trouser ni ulimbukeni tu imekaa kikike sana,angalia tu alivyokaa na ilivyombana mapaja yamejichora kama wa kike kabisa
 
dah jamaa kavunja rekodi, kwa jinsi alivyojikanyaga eti pea 30 wakati wale wachezaji wake sidhani kama wanazidi 10
 
hivi viatu kweli vipo na wanaume wanavaa kwani viatu vinamajina hivi vya wanawake na hivi vya wanaume mbona madem tunavaa raba zas kiume hamsemi achene ushoga bhana ndo fashion hiooo

Mkuu unavyo nn mbona umekua pili pili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom