Ommy Dimpoz afunguka kuhusu kusakamwa anajipodoa kupita kiasi

aisee jamaa mrembo sana huyo na hizo dimpos mombasa nitamuuza kwa bei nzuri sana, hivi lini happy birthday yake nimnunulie zawadi ya dressing table na dazani ya vipodozi aendelee kunawili kama mwali
 
Mhh ila mwanaume inabidi awe na mipaka ya kujipodoa Dimpoz kazidi na hizo hips sasa hatari.
 
601x455xOmmy-1.jpg.pagespeed.ic.G9tIq_qbug.jpg

Msanii mkali wa muziki, Ommy Dimpoz amesema haumizwi kichwa na kauli mbalimbali za mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii ambao wanadai kuwa anajipamba kuzidi.
Akizungumza katika kipindi cha Sporah Show cha Clouds TV, Ommy amesema yeye haumizwi na kauli hizo kwa kuwa anajijua yeye ni mwanaume wa aina gani.

“Ndo nasema haya maneno ya kwenye mitandao mimi hayaniathiri,” alisema Ommy Dimpoz.

“Mimi siwezi sema nipo tofauti na wanaume wengine, mimi nipo kawaida. Kwahiyo suala la kujipenda linaendana na hobby, kwa mfano kuna wanaume wanafanya vitu nasema no, huwezi mwanaume ukafikia kufanya hivi,” aliongeza Ommy Dimpoz.

Muimbaji huyo wa wimbo ‘Achia Body’, amesema swala la muonekano wake linamfanya achukue muda mrefu kujiandaa ili aweze kwenda sehemu.
Yalaaaah
 
afu ommy dimpo mbna ni kama anatumia gharama nying kutengeneza video bt hapigi show kama zaman wala media hazimpigi promo kama zaman? au mimi ndo sioni.
 
601x455xOmmy-1.jpg.pagespeed.ic.G9tIq_qbug.jpg

Msanii mkali wa muziki, Ommy Dimpoz amesema haumizwi kichwa na kauli mbalimbali za mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii ambao wanadai kuwa anajipamba kuzidi.
Akizungumza katika kipindi cha Sporah Show cha Clouds TV, Ommy amesema yeye haumizwi na kauli hizo kwa kuwa anajijua yeye ni mwanaume wa aina gani.

“Ndo nasema haya maneno ya kwenye mitandao mimi hayaniathiri,” alisema Ommy Dimpoz.

“Mimi siwezi sema nipo tofauti na wanaume wengine, mimi nipo kawaida. Kwahiyo suala la kujipenda linaendana na hobby, kwa mfano kuna wanaume wanafanya vitu nasema no, huwezi mwanaume ukafikia kufanya hivi,” aliongeza Ommy Dimpoz.

Muimbaji huyo wa wimbo ‘Achia Body’, amesema swala la muonekano wake linamfanya achukue muda mrefu kujiandaa ili aweze kwenda sehemu.
Tukisema huyu nae ni chakula inakua shida..
 
Kumbe huu mchezo aliuanza siku nyingi kijana.
 
Hizi habari za ubwabwaz kwa huyu jamaa zina ukweli?,au kuchafuana tu?
 
Back
Top Bottom