Adele hello ina views billion 1 na kitu ka million mia 7 nyingne wiz khalifa see you again ina billion 2Kwahiyo na kina Chris Brown,Adelle na wao wananunua viewers? Wale wana views zaidi ya milioni 200 kwenye video zao YouTube
How to Cheat at the YouTube Game and Get Millions of ViewsOmmy hajui anachoongea, hakuna Mtu mwenye heshima zake anaweza kushiriki huo uhalifu wa kimtandao wa kudhalilisha...ambao bado hata ni wa kubahatisha na hauna uhakika wowote wa kufanikiwa kwa asilimia mia moja.
How to Cheat at the YouTube Game and Get Millions of Views"Kuna wasanii wanafanya hvyo?" Swali la kinafki..akwendreee mzk wake hauna radha tena
How to Cheat at the YouTube Game and Get Millions of ViewsAnaijua Youtube au anaongea utumbo tu? Anafikiri Youtube ni Global Publishers!
How to Cheat at the YouTube Game and Get Millions of ViewsMnaanzia mbali kweli ila lengo tumeshalifahamu.
Majungu at work.
How to Cheat at the YouTube Game and Get Millions of ViewsHivi YouTube wapumbavu kiasi gani na washindwe kujua? Kuna watu wanalipwa kwa ajili ya views tu na sio sifa kama za wasanii wa kibongo, huyu kadanganya hapa
How to Cheat at the YouTube Game and Get Millions of ViewsWIVU hakuna jingne hapo
umesoma hadi mwisho?au lugha inakupiga chenga?Hivi kweli umeisoma hii article au unataka Kupotezea watu muda? Haionyeshi Ni jinsi gani ya kununua viewers kitu wanachojaribu kuelezea Ni how to earn more views on your YouTube video. Na njia wanazoeleza humu Ni za kawaida Tu labda Nina wasiwasi hujasoma kitu ulichopost hapa. Wanaseme use the social medias, kama Facebook, blogs na nyinginezo. Pale kwenye Youtube channel yako mtu akifungua Tu video inaanza kucheza and counting. Labda ulitaka kutufahamisha nini kwenye hii post yako.
umesoma hadi mwisho?au lugha inakupiga chenga?