Ommy Dimpoz akiri kununua views Youtube kwenye wimbo wa Wanjera

Tunasemaga siku zote watu wachunge kauli zao inawezekana vipi mtu ununue viewers afu google wakulipe haya ni maajabu inamana unanunua viewers kwa google afu hao hao google wanakulipa non sense
 
Na omy katoa evidence kabisa kuwa hata yeye kawahi kununua au katupiga changa?
 
Katoa single, hivyo anatafuta Kiki.
 
Inawezekana sana mkuu hata instagram niliona kuna website inauza followers na likes
 
Kwanini aseme uongo. Mimi nataka nimpeleke mahakamani akathibitishe hilo. Maana ni tuhuma juu ya technolojia.
Nipeleke mimi mkuu...nataka sana iyo hela yako ya usumbufu utakayoambiwa unilipe
 
Watu wananunua sana followers instagram, kama humus kuna acc za insta huwa zinauzwa follower 1.5k unanunua unabadilisha user name na hawapungui ujue wamepatikana kwa njia hii.
 
We jamaa ndo mweupe kabisa ndalichako aendelee kutafuta vilaza tu,yani unajiita mtaalamu wa IT then unakuja kutujaza ujinga hapa.Rudi ukasome upya dunia ya leo viewer tunanunua hata ukitaka likes za facebook unapata za kutosha tu.
 
Wewe acha kutukana. Kuniwekea hicho kiwebsite sio sababu ya kumwaga povu hapa.
Kuna viwebsite vingi tu vya hivyo hata wewe unaweza kukitengeneza. Acha umburura.
Tatizo lako ni rigidity mkuu. Watu wanabreach security systems za mabenki, serikali na makampuni makubwa duniani itakuwa youtube views? Na naomba ujue tu watu hawanunui views tu, ata subscribers wananunua, followers wananunua..technology ya sasa sio ya miaka ya 70 mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…