Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi ndo hujui haya mambo. Views zinanunuliwa na kuna website maalum kabisa ya kununua views.
Huo utaalamu wako wa IT umesomea wapi mkuu??
www.buyyoutubviews.comHiyo web ipo wapi hebu ilete hapa. Hebu tuache issue hizo. Weka link yake hapa.
Kweli mkuu, ujue aya mambo ukileta ushabiki afu ukachanganya na kujifanya msomi utaishia kuumbuka tu.Fanya utafuti kabla hujatoa post wewe
u want more proof?? Myself i have been doing that sh**t for quite sometime.Utaibiwa pesa wewe. Jaribu kuingia kichwa kichwa.
Nipeleke mimi mkuu...nataka sana iyo hela yako ya usumbufu utakayoambiwa unilipeKwanini aseme uongo. Mimi nataka nimpeleke mahakamani akathibitishe hilo. Maana ni tuhuma juu ya technolojia.
Tatizo lako ni rigidity mkuu. Watu wanabreach security systems za mabenki, serikali na makampuni makubwa duniani itakuwa youtube views? Na naomba ujue tu watu hawanunui views tu, ata subscribers wananunua, followers wananunua..technology ya sasa sio ya miaka ya 70 mkuu.Wewe acha kutukana. Kuniwekea hicho kiwebsite sio sababu ya kumwaga povu hapa.
Kuna viwebsite vingi tu vya hivyo hata wewe unaweza kukitengeneza. Acha umburura.