NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Type hio website ya kununua view iweke hapa usiwe kama kasuku tu dimpo kasema alipigia simu na mtu ili ampe view sasa atuambie huyo aliepiga sum kutoka YouTube au wakala wao bongo atupendagi ujunga sasaMleta uzi ndo hujui haya mambo. Views zinanunuliwa na kuna website maalum kabisa ya kununua views.
Huo utaalamu wako wa IT umesomea wapi mkuu??
Mie sio msanii na wala sio Mr Misifa wa kutafuta likes Facebook na Instagram ila proof Ommy Dimplez katoa kwamba wananua views na likes,so no need me to prove .MIMI NASEMA HIVI HAIWEZEKANI KUNUNUA LIKES,VIEWERS NA HATA FOLLOWERS, SASA WEWE UNAYEAMINI NIDHIBITISHIE KUWA NI KWELI HILO JAMBO LINAWEZEKANA,KWAHIYO HIZO HATUA ZIFANYE WEWE KISHA TUWEKEE SCREENSHOOT HAPA AU KAMA MUNAVYOSEMA MULISHAWAHI KUNUNUA BASI WEKENI HATA HIZO SCREENSHOOT ZA ZAMANI HAPA,KINYUME NA HIVO NYINYI NI WAONGO NA HAPA SIO SEHEMU YAKE NENDENI MKAJIPANGE UPYA ..............???
Tuseme unamwamini sana ommy dimpoz unauhakika gani kama allichokisema ni cha kweli au nae alikuwa anatuhadaa........kama kwl uwezekano wa kunua view upo mwenye huwo uwezo anunue zen ascreen shot atuonyezhe ili kupitia yy na mm niweze kuamini maneno ya dimpozMie sio msanii na wala sio Mr Misifa wa kutafuta likes Facebook na Instagram ila proof Ommy Dimplez katoa kwamba wananua views na likes,so no need me to prove .
najua wewe ni nyumbu wa dimpoz na una-ufahamu mchanga kuhusu technology ya youtube na I.T.. kuna vitu viwili najua mliingia chaka kuna terms za youtube na terms za youtube adsense kama ilivyo terms za blog na blog with adsense.. ukijaribu kumwelewesha huyo dimpoz wako NA AKASOMA kwa kina hivyo vitu atakaa kimya..Ha ha ha, sawa mkuu....naona unakubali kishingo upande
Mkuu haujawahi kuona humu matangazo ya watu wanaongeza followers kwenye insta? Sasa yeye ndio kaongea unataka nimbishie? Mbona na wewe umeongea?Tuseme unamwamini sana ommy dimpoz unauhakika gani kama allichokisema ni cha kweli au nae alikuwa anatuhadaa........kama kwl uwezekano wa kunua view upo mwenye huwo uwezo anunue zen ascreen shot atuonyezhe ili kupitia yy na mm niweze kuamini maneno ya dimpoz
Ww jaribu kuongeza hawo cjui follower ukishaongeza utuonyeshe sasa kabla na baada ya kununua awo follower unaowasema.......hatutaki theoretically prove mm nataka practical prove
Mkuu unaleta ushabiki kwenye vitu ambavyo havihitaji ushabiki. And acha kutumia neno "terms" vibaya kama hujui maana yake or may be una maanisha nini kusema "terms" because as far as am concerned terms of the service of youtube adsense do not say kwamba you can't breach their security system. Sasa wewe niambie una maanisha nini na ilo neno "terms"? labda sijakuelewa, nieleweshe mkuunajua wewe ni nyumbu wa dimpoz na una-ufahamu mchanga kuhusu technology ya youtube na I.T.. kuna vitu viwili najua mliingia chaka kuna terms za youtube na terms za youtube adsense kama ilivyo terms za blog na blog with adsense.. ukijaribu kumwelewesha huyo dimpoz wako NA AKASOMA kwa kina hivyo vitu atakaa kimya..
Nimefatilia kwa umakini conversation zako nikagundua unabisha kitu ambacho ww mwenyewe huna uthibitisho wwt zaid ya kuashumu tuMkuu unaleta ushabiki kwenye vitu ambavyo havihitaji ushabiki. And acha kutumia neno "terms" vibaya kama hujui maana yake or may be una maanisha nini kusema "terms" because as far as am concerned terms of the service of youtube adsense do not say kwamba you can't breach their security system. Sasa wewe niambie una maanisha nini na ilo neno "terms"? labda sijakuelewa, nieleweshe mkuu
dogo umeshampelekea ommy dimpoz majibu.. kikubwa nilichogundua haujui terms and conditions, na policy za google adsense jaribu kusoma huko kwanza.. kama ulikua unapotosha uzi mzima eti its possible to by traffic kwa kila channel ya youtube huo ni uwongo mkubwa ni sawa na kwenye blogging kuna blog unaweza kununua traffic na nyingine hauwezi au nyingine unaweza kuweka porn na nyingine hauwezi kutokana na bidhaa yako na mmiliki wa servers/database unazoweka contents zako..Mkuu unaleta ushabiki kwenye vitu ambavyo havihitaji ushabiki. And acha kutumia neno "terms" vibaya kama hujui maana yake or may be una maanisha nini kusema "terms" because as far as am concerned terms of the service of youtube adsense do not say kwamba you can't breach their security system. Sasa wewe niambie una maanisha nini na ilo neno "terms"? labda sijakuelewa, nieleweshe mkuu
We umeanza na huu uzi tokea mwanzo hadi hapa ulipofikia kweli ...........Maana huko unakoongea wewe watu tulishapita na wakaweka WEB wanayosema ndio ya "kununulia" pameishia kwamba kuna sehemu unaweka pesa na idadi ya viewers unaowataka. Ndipo mimi nikawaomba WAENDELEZE HATUA ZOTE ZA UNUNUZI NA KISHA WATUWEKEE SCREENSHOOT HAPA ..........Wewe unakuja unanirudisha nyuma. SASA KAMA WEWE UNASEMA INAWEZEKANA HAYA WEKA WEB,KISHA FUATA HATUA ZOTE HADI MWISHO,KISHA SCREENSHOOT IWEKE TUIONE HAPA.mkuu ku-buy traffic au ku-exchange traffic inawezekana ila kama una matangazo kama google adsense etc ni kinyume na sheria zao utafungiwa ila kuna softiware mbalimbali za kuongeza viewers hata mimi ninazo
Kumbe unajua kaongea Ommy,sasa wewe uliyekuwa unasisitiza inawezekana ndio Ommy .............Ungemuacha mleta mada ajibu,kisha aseme yeye sio Ommy.Mie sio msanii na wala sio Mr Misifa wa kutafuta likes Facebook na Instagram ila proof Ommy Dimplez katoa kwamba wananua views na likes,so no need me to prove .
Umeona ulivokuwa zuzu..ivi kwa akili yako kabisa unafikiri terms na condition policy zinaongelea security policy against breaching? Yani unazidi kujiaibisha mkuu, unatumia terms of service kufanya conclusion ya security of service? Hivi watanzania tuna tatizo gani katika kuelewa mambo na kufikiri?dogo umeshampelekea ommy dimpoz majibu.. kikubwa nilichogundua haujui terms and conditions, na policy za google adsense jaribu kusoma huko kwanza.. kama ulikua unapotosha uzi mzima eti its possible to by traffic kwa kila channel ya youtube huo ni uwongo mkubwa ni sawa na kwenye blogging kuna blog unaweza kununua traffic na nyingine hauwezi au nyingine unaweza kuweka porn na nyingine hauwezi kutokana na bidhaa yako na mmiliki wa servers/database unazoweka contents zako..
Kwahiyo wewe mtu akiongea unakubali tu hata kama si kweli ......... Basi mimi nasema, wewe ni Shoga.( ole wako upinge au utukane)Mkuu haujawahi kuona humu matangazo ya watu wanaongeza followers kwenye insta? Sasa yeye ndio kaongea unataka nimbishie? Mbona na wewe umeongea?
dogo ndio maana toka mwanzo nakuambia wewe ni zezeta kwa kuamini its possible ku-buy traffic kwenye channel yoyote, mtu hata hujui kutofautisha channels za youtube naona kama nabishana na mpuuzi aliyekariri notes za kwenye internet masuala yote ya traffic yapo kwenye terms za adsense youtube account, kifupi nimeshakusoma wewe ni mkurupukaji jaribu kufanya vitu practically badala ya kukariri vitu na kufuata maneno ya wasaniii au wewe ni msanii mkata viuno???? alaa uzi wote unajaribu kupotosha kisaniiiUmeona ulivokuwa zuzu..ivi kwa akili yako kabisa unafikiri terms na condition policy zinaongelea security policy against breaching? Yani unazidi kujiaibisha mkuu, unatumia terms of service kufanya conclusion ya security of service? Hivi watanzania tuna tatizo gani katika kuelewa mambo na kufikiri?
Ndo maana nikakuambia tokea mwanzo hujui unachoongea.
Nakupuuza kabisa, nilianza kuona laba unauelewa kumbe wewe ndo zuzu kabisa.
We ni zuzu kabisa, ivi unajua kwanza hapa tunaongelea security system ya youtube? Unajua hilo kwanza? Sasa unakuja na mambo ya terms of service, nadhani hujui ata maana ya terms of service and why inawekwa pale.dogo ndio maana toka mwanzo nakuambia wewe ni zezeta kwa kuamini its possible ku-buy traffic kwenye channel yoyote, mtu hata hujui kutofautisha channels za youtube naona kama nabishana na mpuuzi aliyekariri notes za kwenye internet masuala yote ya traffic yapo kwenye terms za adsense youtube account, kifupi nimeshakusoma wewe ni mkurupukaji jaribu kufanya vitu practically badala ya kukariri vitu na kufuata maneno ya wasaniii au wewe ni msanii mkata viuno???? alaa uzi wote unajaribu kupotosha kisaniii
mkuu am sure wewe ni daraja(division zero) huelewi mada inazungumzia nini unarukaruka tuu..nadhani hujui hata kutengeneza adsense accounts za youtube, hakuna nisichoelewe kuhusu youtube, miongoni mwa kazi ninazozifanya ni kutengeneza hizo youtube adsense na kuziuza kwa wasanii na watu maarufu(watu wenye viewers wengi), pamoja na kuweka matangazo ya company nyingine kwenye channels hakuna chochote nisichokijua kuhusu youtube ni mwaka wa saba sasa, nashangaa unahangaika na vitu vidogo... KIKUBWA NILIKUJA KWENYE HUU UZI KUONDOA UPOTOSHAJI MKUBWA ETI KWENYE CHANNELS KAMA YA DIAMOND(channels za adsense) UNAWEZA KUNUNUA TRAFFICS. Nilichogundua nabishana na dogo aliyekariri vitu..We ni zuzu kabisa, ivi unajua kwanza hapa tunaongelea security system ya youtube? Unajua hilo kwanza? Sasa unakuja na mambo ya terms of service, nadhani hujui ata maana ya terms of service and why inawekwa pale.
We ndio ziro kabisa,bora ungebakia kimya tu. Hapa imeshajulikana kuwa KUNUNUA VIEWS HAIWEZEKANI,sasa labda kama wewe unasema inawezekana .....Ndio utuambie kuanzia A - Z, bila kuacha hatua yoyote ile.Mapenzi mabaya, hufanya mtu uwe mpofu, mleta mada alikuwa na malengo yake ambayo yamesukumwa na mapenzi yake juu ya Diamond, alitaka Ommy aonekane mjinga mbele ya jamii, ukweli Ommy hakusema Diamond ana nunua views, kasema upo uwezekano wa kupata viewers na akasema muende google mtaona, kuthibitisha hayo hapa watu wamesema "ukishikwa unafungiwa" so hapo hadi ushikwe lakini pia unaweza usishikwe maana saa nyingine usemi za mwizi arobaini, saa zingine usemi huu doesnt apply, mada imepoteza maana watu wanatokwa na mapovu juu ya mapenzi
Hivi kuna mahala mondi alisema kua bibi Yule anapumulia?Wanawake wengi huwa na tabia ya kujump into conclusion.....Nashangazwa sana tabia hii kuwa nayo wanaume pia...ndo kizazi chetu hiki...
Facts
1. Hakuna mahali ommy kamtaja Diamond...Kasema kaambiwa wasanii wanaofanya hivyo wapo so it can be anyone...Na hakuna alipoashiria kuwa ni Diamond...Huku ni kujishtukia na kujump kwenye conclusion...
2. Jambo la kununua views youtube sio ishu mpya wala kusema ni ya waafrica, hii hufanyika popote pale na wengi tu wanafanya...Na ni katika mijadala ya muda mrefu tu mitandaoni..Na ni kitu ambacho KINAWEZEKANA
3. Wapo wasanii wakubwa tu wameshawahi kutuhumiwa kununua views akiwemo justib beiber.. Tuhuma ambazo baadhi ya kampuni za statistics zilisema ni zina ukweli...
Musicians accused of 'buying virtual fans' on YouTube
4. Watanzania wengi ni wajinga. Wakishapenda kitu akili zao sijui huziweka wapi. Yani mtu ni mjinga halafu anajifanya mjuuuuuzi...JAMANI SIMU ZETU SI ZA KUPIGIA PICHA TU NA KUINGIA SOCIAL NETWORKS...Kuna kitu kinaitwa google mnaweza kuwa mnakitumia kabla ya kuja kupost utumbo humu...
5. Kuna mataahira watakuja kujibu na we si ununue? Hapa tunaongelea facts..Kwamba inawezekana au laa...Na ukweli ni kuwa inawezekana na wapo wanaofanya...Na si ujinga kufanya kama hutoshtukiwa, ni njia mojawapo ya kujitangaza..Sema wabongo wengi akili zao fupi wanadhani viewers wa youtube ni kwa ajili ya sifa tu...Ile ni njia ya kujulikana zaidi ulimwenguni....