Ommy Dimpoz akiri kununua views Youtube kwenye wimbo wa Wanjera

Nataka mashabiki wa kibakuli na Yule bibi wa kupumulua watueleze toka waseme view zinanunulia walishanunua ngapi?
Tunataka screen shot walivyonunua wake weseme kabla hawajanunua zilikua 100 walivyonunua zikapatikana milioni atutaki ujinga sisi
 
Kwahiyo wewe mtu akiongea unakubali tu hata kama si kweli ......... Basi mimi nasema, wewe ni Shoga.( ole wako upinge au utukane)
Tatizo Nyie Team Mavi huwa mna tabu sana.
 
Nilisikiliza alivyoongea sikusikia akisema amenunuwa views unless nimeanza kuwa kiziwi looo
 
We ndio ziro kabisa,bora ungebakia kimya tu. Hapa imeshajulikana kuwa KUNUNUA VIEWS HAIWEZEKANI,sasa labda kama wewe unasema inawezekana .....Ndio utuambie kuanzia A - Z, bila kuacha hatua yoyote ile.
We we ndo sufuri, kasema kwenye interview kuwa alipewa viewers kwenye wanjera, pia Sallam alikasirika sana kwanini Ommy aliongea juu ya issue ya viewer, sasa hadi hapo hujaelewa nini au ndo u O kichwani kwako
 
We ndo mpu.mbavu ambae unatumia terms of services kusemea security of service. Ebu nielezee security levels za youtube ambazo zinaiprotect from being breached, naomba usiniletee upu.mbavu wako wa terms of services. Lets get technical sasa.
 
We we ndo sufuri, kasema kwenye interview kuwa alipewa viewers kwenye wanjera, pia Sallam alikasirika sana kwanini Ommy aliongea juu ya issue ya viewer, sasa hadi hapo hujaelewa nini au ndo u O kichwani kwako
Kwahiyo wewe umemwamini Ommy si ndio ...........???
 
Akina Tomaso mpo wengi, mmepewa mifano links Na kila kitu, ama kweli mpenzi upofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…