vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Sijui...Na katika post yangu hakuna mahala nimeashiria hiloHivi kuna mahala mondi alisema kua bibi Yule anapumulia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui...Na katika post yangu hakuna mahala nimeashiria hiloHivi kuna mahala mondi alisema kua bibi Yule anapumulia?
Tatizo Nyie Team Mavi huwa mna tabu sana.Kwahiyo wewe mtu akiongea unakubali tu hata kama si kweli ......... Basi mimi nasema, wewe ni Shoga.( ole wako upinge au utukane)
Umepuyanga mkuu unaendeshwa na ushabiki unakuwa kama umevaa miwani ya mbaoHebu iweke hiyo interview unayoijua wewe
Nilisikiliza alivyoongea sikusikia akisema amenunuwa views unless nimeanza kuwa kiziwi loooKama tunavyo fahamu kwamba Youtube ni Mtandao ambao karibia wasanii na wasio wasanii wote Duniani hu utumia kwa ajili ya kuweka kazi zao ili kuji ingizia kipato kutokana na idadi ya watazamaji. Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amekiri kununua watazamaji wa video yake kwenye mtandao huo wa YouTube.
Juzi Ommy Dimpoz alikuwa kwenye kipindi cha Papo kwa papo kinachoruka kila siku ya Jumatano kikiwa live kwenye mtandao wa Twitter. Dimpoz aliulizwa swali na mmoja ya wafuatiliaji wa kipindi hicho kuwa athibitishe ni ki vipi unaweza ukanunua Viewers kwenye mtandao wa Youtube? na majibu ya Ommy Dimpoz yalikuwa ni haya.
“Suala la Views, watu wanavyojua kwenye internet unaweza kucheat kwa mambo mengi sana, watu wana nunua likes Instagram yaani ni vitu vipo wazi na amini kwa watu wengi wa twitter wana elewa zaidi na watu wengi wana elewa mambo hizo za vitu vya ujanja kudanganya.
Tukizungumzia sasa views wa Youtube mimi kuna mtu alinicheki siwezi kusema ni nani? Lakini mtu alinicheki na kuniambia unataka Views? nikamwambia Views how? akaniambia tunaweza kupiga Views mwanangu Youtube, Nikamwambia kweli? unafanyaje yaani nilikuwa nashauku ya kutaka kujua unafanyaje? Kwahiyo nikagundua. Jamaa akaniambia hebu nitumie link basi nikamtumia link, na link yenyewe ilikuwa ni link ya wimbo wa wanjera ilikuwa na Views kama 940,000 na uki angalia Muda ilikuwa kama na mwaka mmoja tayari yaani views wana ongezeka kwa mwendo wa kobe umenielewa?
Basi baada ya masaa kama matano aka niambia cheki? kucheki mzigo tayari una milioni 1 ndiyo mimi nikastuka, aka niambia Are you in? yaani aki maanisha tuanze kupiga kazi, basi na mimi nikaji fikiria, nika muuliza kuna wasanii wanafanya hivyo? akasema ndiyo” Dimpoz alimalizia.
We we ndo sufuri, kasema kwenye interview kuwa alipewa viewers kwenye wanjera, pia Sallam alikasirika sana kwanini Ommy aliongea juu ya issue ya viewer, sasa hadi hapo hujaelewa nini au ndo u O kichwani kwakoWe ndio ziro kabisa,bora ungebakia kimya tu. Hapa imeshajulikana kuwa KUNUNUA VIEWS HAIWEZEKANI,sasa labda kama wewe unasema inawezekana .....Ndio utuambie kuanzia A - Z, bila kuacha hatua yoyote ile.
We ndo mpu.mbavu ambae unatumia terms of services kusemea security of service. Ebu nielezee security levels za youtube ambazo zinaiprotect from being breached, naomba usiniletee upu.mbavu wako wa terms of services. Lets get technical sasa.mkuu am sure wewe ni daraja(division zero) huelewi mada inazungumzia nini unarukaruka tuu..nadhani hujui hata kutengeneza adsense accounts za youtube, hakuna nisichoelewe kuhusu youtube, miongoni mwa kazi ninazozifanya ni kutengeneza hizo youtube adsense na kuziuza kwa wasanii na watu maarufu(watu wenye viewers wengi), pamoja na kuweka matangazo ya company nyingine kwenye channels hakuna chochote nisichokijua kuhusu youtube ni mwaka wa saba sasa, nashangaa unahangaika na vitu vidogo... KIKUBWA NILIKUJA KWENYE HUU UZI KUONDOA UPOTOSHAJI MKUBWA ETI KWENYE CHANNELS KAMA YA DIAMOND(channels za adsense) UNAWEZA KUNUNUA TRAFFICS. Nilichogundua nabishana na dogo aliyekariri vitu..
Kwahiyo wewe umemwamini Ommy si ndio ...........???We we ndo sufuri, kasema kwenye interview kuwa alipewa viewers kwenye wanjera, pia Sallam alikasirika sana kwanini Ommy aliongea juu ya issue ya viewer, sasa hadi hapo hujaelewa nini au ndo u O kichwani kwako