Ommy Dimpoz akiri kununua views Youtube kwenye wimbo wa Wanjera

Ommy Dimpoz akiri kununua views Youtube kwenye wimbo wa Wanjera

Umeshindwa ku prove sasa unaaza kuimba sio?
Nimegundua huna hoja, unataka mabishano. Afu unaonekana mweupe sana kichwani katika haya mambo. Yani google kumiliki youtube ndo ifanye ugumu kununua views? What's your base argument on that? kabla sijakupuuza mkuu
 
Madimpoz vikoti kama mganga wa kienyeji,pamoja ali kibakuli kweli nimeamini bila bifu hawasikiki.
 
Hivi umekisoma ulicho kiweka lakini?
Una google vitu tu bila hata kusoma vilivyoandikwa ndani.

Toa upimbi hapa leta proofs sio kuleta uzwazwa.
Twende taratibu, umesoma izo cases apo kwenye links?
 
Leo katika pita pita zangu kwenye YouTube nikakutana na interview ya Ommy Dimpozi.
Nilitamani sana kusikia maana mda mrefu sijamsikia.

Aisee huyu jamaa ni mweupe kabisa katika mambo ya technolojia. Halafu anajifanya anajua. Kama kiki zinatafutwa kwa kuongea uongo na kudanganya huku ukijifanya unajua wakati hujui ni upumbavu.

Nimeshangaa sana akiongea tena kwa kujiamini eti watu wananunua views YouTube!!?
Mimi ni mtaalamu wa IT kusema kweli hawa vijana wanaaibisha taifa letu. Wajaribu kupata ushauri kabla hawajaenda hewani. Watanza kupoteza hadhi ya Bongo Flava kama bongo movie ilivyopotea kutokana na scandal za kipuuzi.

Huyu jamaa nimemuona hayupo serious na kazi yake. Kwa kweli sijapenda alivyoongea kuhusu kununua views YouTube kwa maana ni uongo na kuishushia hadhi YouTube. Hivi anachukulia poa tu. Akitokea kichaa akampeleka mahakamani si atafungwa huyu!?. Aisee tunatakiwa tusichezee biashara za watu.
Halafu eti anasema kama unataka ujue nenda kwenye google ukatafute!!! Yaani hajui kwamba google na YouTube ni kitu kimoja. Yaani jamaa huyu yupo shallow sana. Kwanza ameidhalilisha taaluma ya IT. Ikitokea mmoja tu akaenda mahakani ili athibitishe itakuwaje?

Yaani angetafuta kiki zingine sio kiki za kitaaluma zinaweza kumfunga.
Sometime uwe unaficha ujinga wako humu kuna wajuvi sana hivyo x vzr kuingia kichwa kichwa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Its very simple. Nikupatise pesa kiasi gani u prove kwangu na tuwaoneshe wadau hapa JF kwamba views zilikuwa kiasi kadhaa. Baada ya kununua zimekuwa kadhaa. Kwa nini tuandikie mate wino upo?
Ebu nijibu maswali yangu, usirukeruke kama kuku aliekatwa kichwa. What's your argument katika swala la umiliki wa google na youtube views?
 
Tushamsahau Alikimba, Sasa Ni Dimpoz Na Dimond.Ila Mimi Nina Swali Ina Maana Jamaa Ana Pesa Kiasi Gani Mpaka Anaharibu Kuwanunulia Views Wasanii Wanaomshirikisha Kama Jah Prayzah, Akothee, Chege Na Aka.Yeye Anapata Faida Gani Kuwanunulia Views?
 
Jaman mbona ivi vitu vipo juzi hapa twitter na instagram walifuta robot account.. haina tofauti..
Kinachofanyika watu na robot acc ukiwalipa wanaenda kwenye web adress yako au youtube acc yako na wanakutupia huo mzigo
Instagram deletes millions of accounts in spam purge - BBC News
Hiyo ilikuwa 2014 kwenye insta na twitter wali delete robot acc. So hata huku unakuwa na robot viewers idadi yako inaongezeka
 
Soma hii hapa article kutoka kwa google wenyewe
YouTube clamps down on 'fake video views'
Ivi we jamaa uko serious au unatania? What does that link say about possibility of buying views? Does it say kwamba haiwezekani au inasema watafungia account zinazofanya michezo michafu kama hiyo ya kununua views? Youtube wenyewe wanajua its possible to buy (according to your article), sasa ndugu unaebisha tukueleweje?
Usiwe mbishi wakati hujui, swallow that rigidity..it will help you in the future

Afu nakupuuza kwa sababu hujui kitu, and dont call yourself IT ninja, just because you know how to install whatsapp or kufungua email.
 
Soma article uimalize usiwe mzembe.
Iyo article hujaielewa au hujui nini tunajadili hapa? Hamna kitu kwenye iyo article ndugu yangu. Buying those sh*ts ni possible ndo maana ata hao wenyewe wanaamua kufanya huo msako wa kuziclamp fake accounts.
Hivi uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kiasi icho ndugu?

Kama ushawahi kuona cocaine au heroine inauzwa karibu na kituo cha polisi, ndo unipe iyo hela nikununulie
 
Leo katika pita pita zangu kwenye YouTube nikakutana na interview ya Ommy Dimpozi.
Nilitamani sana kusikia maana mda mrefu sijamsikia.

Aisee huyu jamaa ni mweupe kabisa katika mambo ya technolojia. Halafu anajifanya anajua. Kama kiki zinatafutwa kwa kuongea uongo na kudanganya huku ukijifanya unajua wakati hujui ni upumbavu.

Nimeshangaa sana akiongea tena kwa kujiamini eti watu wananunua views YouTube!!?
Mimi ni mtaalamu wa IT kusema kweli hawa vijana wanaaibisha taifa letu. Wajaribu kupata ushauri kabla hawajaenda hewani. Watanza kupoteza hadhi ya Bongo Flava kama bongo movie ilivyopotea kutokana na scandal za kipuuzi.

Huyu jamaa nimemuona hayupo serious na kazi yake. Kwa kweli sijapenda alivyoongea kuhusu kununua views YouTube kwa maana ni uongo na kuishushia hadhi YouTube. Hivi anachukulia poa tu. Akitokea kichaa akampeleka mahakamani si atafungwa huyu!?. Aisee tunatakiwa tusichezee biashara za watu.
Halafu eti anasema kama unataka ujue nenda kwenye google ukatafute!!! Yaani hajui kwamba google na YouTube ni kitu kimoja. Yaani jamaa huyu yupo shallow sana. Kwanza ameidhalilisha taaluma ya IT. Ikitokea mmoja tu akaenda mahakani ili athibitishe itakuwaje?

Yaani angetafuta kiki zingine sio kiki za kitaaluma zinaweza kumfunga.

Na kwa mujibu wa article hii ilitolewa 2014 Ommy Dimpoz amaweza akashitakiwa na google. Au anaweza kuchukuliwa kama shahidi.

YouTube clamps down on 'fake video views'
Labda wewe ndiyo huelewi kuwa youtube views zina generate income.

The more views you have on your channel the better the chances that many viewers will click on YouTube adds, and that's when you get paid, per click of add clicks generated from your channel.

Wewe unamuona huyo kijana hajuwi kumbe wewe ndiyo hujuwi.

Pole sana.
 
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Labda wewe ndiyo huelewi kuwa youtube views zina generate income.

The more views you have on your channel the better the chances that many viewers will click on YouTube adds, and that's when you get paid, per click of add clicks generated from your channel.

Wewe unamuona huyo kijana hajuwi kumbe wewe ndiyo hujuwi.

Pole sana.
Asante mkuu, they dont know kwamba iyo ni market/business strategy.
 
Kuna wengi wamekamatwa na makampuni mengi yametozwa na google kwa sababu ya hilo. Hiyo ni 2014 sasa hivi ni 2016.
Soma hapa article ya google:
Halafu nawashauri wasanii wa TZ wasiingie kichwa kichwa na kuanza kusema kwenye media mambo hayo wamaweza chukuliwa kutoa ushahidi
YouTube clamps down on 'fake video views'
Ok....hapo hatupingani.

sio kwamba haiwezekani ila kuna adhabu kwa mtu akigundulika amefanya ivyo..pamoja na Wimbo kuwa deleted kwenye acc pamoja au wale robot viewer kuondolewa.

Tec imekuwa na watu wanaitumia ndivyo sivyo kwa manufaa yao!.
Hoja nyingine wasanii wajielemishe upande huu wa technology inavyokuwa.

Kwa sasa watu wanachofanya ni kufanya nyimbo ifungiwe na basata kwenye local chanel ila kwenye youtube inapatikana ivyo watu wengi tunaangalia kwa youtube ivyo kukuza idadi ya watazamaji.
Sina uhakika kama ni ubunifu au ni fulsa ila nauhakika watu wanafanya music mzuri kwa sasa mwisho wa siku tunataka music wetu ndo uwe bora african hakuna haja ya kugombea fito.
 
Mleta thread ni IT haha dah! Kumiliki blog na ku burn cd unajiita IT kwa mambo usiyo yajua? Halafu ukibanwa na swali unakimbilia kuleta link, yaani we jamaa unatakiwa kuzibuliwa shoka moja la kichwa kuirudisha akili yako sawa!
 
Yani utafiti waliosema watanzania wengi ni vichaa hawakukosea. Nyie mnaobishana na huyo Annael ndio mnaonekana machizi zaidi. Hiyo article ya Google YouTube imeshatoa majibu yakuwa hilo swala lipo na linafanyika. Kwahiyo muacheni huyo anayefikilia tofauti na hao Youtube wenyewe waliothibitisha.
 
Kwa ma programmer wa google lazma wawe na security ya kutosha vinginevyo biashara zisingefanyika! Wanaiona faida na ndo maana wanaweza kuwalipa wale wote waliofikisha idadi ya viewers wanaotakiwa ! Ingekua n rahisi ivo nadhana nigerians comedian wote wangekua wanalipwa na google! Tatzo n kwamba unafanya afu jamaa wanakustukia!
 
Tunasemaga siku zote watu wachunge kauli zao inawezekana vipi mtu ununue viewers afu google wakulipe haya ni maajabu inamana unanunua viewers kwa google afu hao hao google wanakulipa non sense
Usiwe unakurupuka kabla hujafanya tafiti.
Ingia google alafu urudi ufute haya mashudu uliyoandika hapa.
1480137468319.png
 
Kama tunavyo fahamu kwamba Youtube ni Mtandao ambao karibia wasanii na wasio wasanii wote Duniani hu utumia kwa ajili ya kuweka kazi zao ili kuji ingizia kipato kutokana na idadi ya watazamaji. Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amekiri kununua watazamaji wa video yake kwenye mtandao huo wa YouTube.

Juzi Ommy Dimpoz alikuwa kwenye kipindi cha Papo kwa papo kinachoruka kila siku ya Jumatano kikiwa live kwenye mtandao wa Twitter. Dimpoz aliulizwa swali na mmoja ya wafuatiliaji wa kipindi hicho kuwa athibitishe ni ki vipi unaweza ukanunua Viewers kwenye mtandao wa Youtube? na majibu ya Ommy Dimpoz yalikuwa ni haya.

“Suala la Views, watu wanavyojua kwenye internet unaweza kucheat kwa mambo mengi sana, watu wana nunua likes Instagram yaani ni vitu vipo wazi na amini kwa watu wengi wa twitter wana elewa zaidi na watu wengi wana elewa mambo hizo za vitu vya ujanja kudanganya.

Tukizungumzia sasa views wa Youtube mimi kuna mtu alinicheki siwezi kusema ni nani? Lakini mtu alinicheki na kuniambia unataka Views? nikamwambia Views how? akaniambia tunaweza kupiga Views mwanangu Youtube, Nikamwambia kweli? unafanyaje yaani nilikuwa nashauku ya kutaka kujua unafanyaje? Kwahiyo nikagundua. Jamaa akaniambia hebu nitumie link basi nikamtumia link, na link yenyewe ilikuwa ni link ya wimbo wa wanjera ilikuwa na Views kama 940,000 na uki angalia Muda ilikuwa kama na mwaka mmoja tayari yaani views wana ongezeka kwa mwendo wa kobe umenielewa?

Basi baada ya masaa kama matano aka niambia cheki? kucheki mzigo tayari una milioni 1 ndiyo mimi nikastuka, aka niambia Are you in? yaani aki maanisha tuanze kupiga kazi, basi na mimi nikaji fikiria, nika muuliza kuna wasanii wanafanya hivyo? akasema ndiyo” Dimpoz alimalizia.
We mwandishi ni mnafiki uandishi wako umekaa kiteam team... hiyo interview tumeiona wengi umepunguza sana maneno hlf umeongezea mengine ya kwako unataka kupotosha watu
 
Tushamsahau Alikimba, Sasa Ni Dimpoz Na Dimond.Ila Mimi Nina Swali Ina Maana Jamaa Ana Pesa Kiasi Gani Mpaka Anaharibu Kuwanunulia Views Wasanii Wanaomshirikisha Kama Jah Prayzah, Akothee, Chege Na Aka.Yeye Anapata Faida Gani Kuwanunulia Views?
haters hawakosekanagi[emoji23][emoji23]
watasema ananunua shows, ananunua fans
ananunua waingia kwenye show
ana edit shangwe
 
Back
Top Bottom