Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Hivi unajua kinachojadiliwa hapa au unarukia mambo tu?acha uongo na uelewa finyu, huwezi kununua viewers kama una matangazo ya google adsense account yako itafungwa na hautapwea hata senti.. rudi tena kusoma terms za adsense, nina uzoefu wa haya mambo mwaka wa saba sasa
Ngoja nikueleweshe maana inaelekea hujui unachoongea, terms na agreements do not say about possibility ya kubreach..ungesema labda "security policy" inasema haiwezekani kununua au kuibreach iyo security system yao ningekuelewa. Ila umekurupuka bila ata kujua unachokisema.
NB: Hatujadili swala la ununuzi kuwa a crime or not, tunajadili uwezekano wa kununua views. Fikiria katika lines izo.