Ommy dimpoz amchana shigongo

Ommy dimpoz ni waziri wa wizara gani kwani?
 
Hii ni post ya Ommy ambayo ameitoa akiomba asamehewe kwa kauli zake na matusi aliyoyatoa kwa marehemu Ngwea....


 
tabia za kischana ni zile tabia walizonazo waschana kutokana na jinsia yao na umri wa uschana,mojawapo ni kisirani na nyodo

na homoni nyingi za kike zinamsababisha mtu kuact kama mwanamke

were you sleeping in biology class?? pole..

mmh! ............................
eti hormone za kike nyingi zinasababisha nini??
do you wanna tell me wanaume wanahormone za kike?? scientifically umeproove hili??
hebu nipe supporting evidence??
 
mmh! ............................ eti hormone za kike nyingi zinasababisha nini?? do you wanna tell me wanaume wanahormone za kike?? scientifically umeproove hili?? hebu nipe supporting evidence??
Asilimia kubwa ya mashoga wana hormones za kike, huwa znapelekea saut,miondoko na hata maumbile yalee ya kike huku mtu ni mwanaume.na kwa wanawake pia.. Nadhan ushawahi ona hawa watu... Kama huamn kasake biology classes hata kwa kugoogle au tazama watu barabaran vzuri
 

mmh! hebu kwanza nisiseme kitu hapa, manake ulichokisema wee na nilicho mquote matumbo ni vitu viwili tofauti.
kwanza unaposema hormone za kike unaanisha nini?? na i hormne gani utasema ni za kike na zipi utasema ni za kiume??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…