Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya rudi kanilike lolz!
tabia za kischana ni zile tabia walizonazo waschana kutokana na jinsia yao na umri wa uschana,mojawapo ni kisirani na nyodo
na homoni nyingi za kike zinamsababisha mtu kuact kama mwanamke
were you sleeping in biology class?? pole..
Ommy dimpoz ni waziri wa wizara gani kwani?
Asilimia kubwa ya mashoga wana hormones za kike, huwa znapelekea saut,miondoko na hata maumbile yalee ya kike huku mtu ni mwanaume.na kwa wanawake pia.. Nadhan ushawahi ona hawa watu... Kama huamn kasake biology classes hata kwa kugoogle au tazama watu barabaran vzurimmh! ............................ eti hormone za kike nyingi zinasababisha nini?? do you wanna tell me wanaume wanahormone za kike?? scientifically umeproove hili?? hebu nipe supporting evidence??
Asilimia kubwa ya mashoga wana hormones za kike, huwa znapelekea saut,miondoko na hata maumbile yalee ya kike huku mtu ni mwanaume.na kwa wanawake pia.. Nadhan ushawahi ona hawa watu... Kama huamn kasake biology classes hata kwa kugoogle au tazama watu barabaran vzuri
Umeona eeh? wanajuanaWanajuana haoooo,sijawah sikia wala ona mtu aloandikwa na shigongo akienda mahakaman,,,,,