Ommy Dimpoz amtosa Victoria Kimani

Ommy Dimpoz amtosa Victoria Kimani

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Agoma kufanya video ya wimbo alioshirikishwa,anasema hana nguo za kushutia na hayuko tayari kufanya video na director wa Kenya, anataka wa Nigeria/South Africa.

#Nawasilisha
 
ImageUploadedByJamiiForums1405194950.318259.jpg
Hii wamei-post leo wao wenyewe wakiwa wanafanya hiyo video.
Sasa sijui tumuamini nani wao au alieleta thread??
 
nyimbo yenyewe cop na kupest ya gallardo,runtown ft davido
 
View attachment 170445
Hii wamei-post leo wao wenyewe wakiwa wanafanya hiyo video.
Sasa sijui tumuamini nani wao au alieleta thread??

Iyo video mwanzoni Ommy aligoma kuifanya,anasema yeye level zake sasa hataki director wa east africa anataka wa uko Nigeria au southh africa kina godfather demu aliambiwa maneno ayo yupo location tayari na domo, alilia usiku mzima..mleta mada yupo sahihi.
 
Hapo sasa nimekubali maana najua kwenye mambo haya upo vizuri.
 
Back
Top Bottom