Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
- Thread starter
-
- #21
Hizo tuzo 3 ndo zilimpa kiburi cha kukashfu wenzake.
Umbumbumbu ndio unawasumbua wasanii wetu. Hawajui kuwa ukiishafikia kuwa Super Star unatakiwa kupiga Tution ya Communication Skills na Public Relations ili uwe unajua unaongea na kuandika nini kwenye media. Sa sijui akifika kwa familia yake ataanzaje kuomba msamaha?? Labda akaombe kaburini
Kuna watu wanajitahdi kupindsha ukwel Ommy alisema "Tumechoka kuzima wasanii masikini wenye majina makubwa! Ngwear kafia South hata kusafisha maiti kwa michango ya kuunga unga" mimi siwezi kufa masikini kama Ngwear!"
Tatizo la elimu kwa baadhi ya wasanii linawafanya washinde kuwa na upeo wa kutoa hoja kwa mashabiki YEYE kwa pale anapotamka alihisi yupo sahihi ndo anakuja kutambua kuwa alikukuwa anatoa utumbo "ushauri msikurupuke wakati wa kutoa hoja kwa mashabiki wenu ili muweze kuheshimika na kupendwa na mashabiki ambao bila wao huwezi kuwa msanii badilikeni mnakera"
wasanii wetu ni ukurupukaji ndio unaowasumbua.!!
Tz hatupend ukweli, Ommy Dimpoz kaongea poa tu na ni ushauri wa kuzingatiwa kabsa. Achen kubweteka wasanii fanyen maisha.
aliongea na maneno ya kejeli,wala hasingziwi
Tena alikosea sana aliposema kutokana umasikini wake ilibidi watu wachange kwa kuunga unga mpaka kuuleta mwili hapa. Ki ukweli alikosea sana kwa maana hata kama una hela sio vibaya watu wakichanga maana ni pole tu.
watu wamemuelewa vibaya kwa aliyo sema so anataka kuelewesha alicho maanishaIlikuwa haina haja kuomba msamaha kuongea ukwel c dhambi ila yy ndo anataka kutuaminsha kuwa alikosea
Hata aombe msamaha kipigo toka T.I.D kiko palepale
kalapina anamtafuta sana huyu dogo Dimpoz,KALAPINA amesema ole wake Dimpoz aingie anga zake lazima ale za chembe
kalapina anamtafuta sana huyu dogo Dimpoz,KALAPINA amesema ole wake Dimpoz aingie anga zake lazima ale za chembe
kalapina anamtafuta sana huyu dogo Dimpoz,KALAPINA amesema ole wake Dimpoz aingie anga zake lazima ale za chembe
Hivi Mangwea alikuwa na kitegauuchumi gani? Dimpoz alikosea wapi?