Ommy Dimpoz aomba radhi kupitia ukurasa wake wa Facebook

Ommy Dimpoz aomba radhi kupitia ukurasa wake wa Facebook

Umbumbumbu ndio unawasumbua wasanii wetu. Hawajui kuwa ukiishafikia kuwa Super Star unatakiwa kupiga Tution ya Communication Skills na Public Relations ili uwe unajua unaongea na kuandika nini kwenye media. Sa sijui akifika kwa familia yake ataanzaje kuomba msamaha?? Labda akaombe kaburini

hahahaha.kaul moja 2 imemuharbia
 
Kuna watu wanajitahdi kupindsha ukwel Ommy alisema "Tumechoka kuzima wasanii masikini wenye majina makubwa! Ngwear kafia South hata kusafisha maiti kwa michango ya kuunga unga" mimi siwezi kufa masikini kama Ngwear!"

yap,na hzo ndo dharau zenyewe,kula LİKE embtj
 
Tatizo la elimu kwa baadhi ya wasanii linawafanya washinde kuwa na upeo wa kutoa hoja kwa mashabiki YEYE kwa pale anapotamka alihisi yupo sahihi ndo anakuja kutambua kuwa alikukuwa anatoa utumbo "ushauri msikurupuke wakati wa kutoa hoja kwa mashabiki wenu ili muweze kuheshimika na kupendwa na mashabiki ambao bila wao huwezi kuwa msanii badilikeni mnakera"

labda alikuwa viroba
 
Last edited by a moderator:
wasanii wetu ni ukurupukaji ndio unaowasumbua.!!

me nahisi vyombo vya habari ndivyo vilipotosha maana ya huyu dogo.hakukusudia kumtusi/kumdhalilisha marehemu lakini alikuwa anaelezea jinsi ukweli ulivyo.wanakunyonya ukiwa hai ukifa wanakutumia kujitafutia umaarufu.ndio hata mimi ningewaambia nipeni changu nikiwa hai sio msubiri nifa maskini muendeshe michango ya kinafiki kunichangia.
 
Tatizo alishindwa kulaumu blauz fm moja kwa moja kuhofia rugay
 
Hivi Mangwea alikuwa na kitegauuchumi gani? Dimpoz alikosea wapi?
 
maisha ni upside down,ngwair aliwekeza hali ilipochange akapiga bei,si vyake.thnk of scandnavia.dimpoz nimemchukia gafla
 
Tz hatupend ukweli, Ommy Dimpoz kaongea poa tu na ni ushauri wa kuzingatiwa kabsa. Achen kubweteka wasanii fanyen maisha.

Kwani kuna mtu amebisha basi juu ya ukweli aliouongea, ila yeye mwenyewe ndo ana haha kupindisha facts alizozungumza ziwe uongo.
 
Hata aombe msamaha kipigo toka T.I.D kiko palepale
 
Most oftentimes it's not what you say but rather how you say what you say.

I don't think that kid meant any harm. I truly believe he meant well and had a valid point in what he wanted to convey.

I've seen him being interviewed a few times before and I must say he is not the most polished of speakers and that's likely what led him to inartfully say what he said.

But good thing he saw it appropriate to apologize.
 
Back
Top Bottom