Ommy Dimpoz aomba radhi kupitia ukurasa wake wa Facebook

Ommy Dimpoz aomba radhi kupitia ukurasa wake wa Facebook

na hiki ndicho alicho kiandika

Ommy Dimpoz
Samahani tena sana na sitawacha
kuomba msamaha,nimekubali
makosa na hivi sasa naelekea
nyumbani kwao kuomba msamaha
kwa familia na nitue kwa vituo vya
radio kuomba msamaha kwa
wabongo na wote niliowaudhi.sam
ahani sana na nakubali mimi si mtu
bila nyinyi na sikuongea kuhusu
legend Ngweir kwa ila mbaya.One
Love.

la msingi ni kutambua wewe ni nani na kauli yako ukiitoa ina impact gani kwa jamii inayomzunguka, mwambie ajaribu kushirikisha ubongo wake vilivyo kabla ya kutoa matamko ya hovyo hovyo kama lile la mara ya kwanza, yangu ni hayo tu.
 
wasanii wetu ni ukurupukaji ndio unaowasumbua.!!

Huyu hanatofauti na Pindale mtoto wa mukulima kutoka mulele Katavi.Hata hivyo wa ukanda mmoja Kigoma na Katavi.Uropokaji ni adui mkubwa-Ulimi kiungo kidogo matatizo yake makubwa.
 
Back
Top Bottom