Ommy Dimpoz apigwa mawe na chupa

Status
Not open for further replies.
Wabongo kwa mwendo huu tutakufa maskini kwa kunyonywa milele,.. Go go goo dimpozi achana na hayo manafki yanajifanya yanampenda sana ngwear wakati ashakufa
 
Dah, Kuwa mkweli kunamgharimu huyu Bwana Mdogo...
Badala ya kumjengea chuki tulitakiwa tuichukue kauli yake kama changamoto.
 
Bado Arusha wakamlipue na bomu si alimzushia Ibra da husler kamuibia power window
 
exactly,pia
me,sidhani
kama
alikosea,b'se
rafiki
wangwea,amekiri
mali,za,marehemu
kazipeleka
na,lori
maalum
ambazo
ni,Tv,sabufa,nguo.
 
Tatizo ni kukataa show ya shigongo na si kauli wanayosema kasema.
 
Wabongo kwa mwendo huu tutakufa maskini kwa kunyonywa milele,.. Go go goo dimpozi achana na hayo manafki yanajifanya yanampenda sana ngwear wakati ashakufa

umeona
eee,rafki
wa
ngwea
amepeleka
mali
za
marehemu
ambazo
ni,Tv,sabufa
na,nguo,
 
Mm ningekunya nimtupie kinyesi!!
 
dah, mara tu jamani? lakin ni sawa anajisikia sana dogo huyu
 
umeona
eee,rafki
wa
ngwea
amepeleka
mali
za
marehemu
ambazo
ni,Tv,sabufa
na,nguo,

haya ni mapuzi ukiyauliza yanafurahia nini dimpoz kufanyiwa hivo eti kamtukana marehemu,. Wabongo akolizetu ndogo sana
 
exactly,pia
me,sidhani
kama
alikosea,b'se
rafiki
wangwea,amekiri
mali,za,marehemu
kazipeleka
na,lori
maalum
ambazo
ni,Tv,sabufa,nguo.

kwikwikwii roli ndo lilibeba hivi si wangepeleka tu na toyo au bajaji
 
Inawezekana hajakosea ila amezungumza kipindi Sio muafaka angesubiri msiba upite.
 
ommy angetakiwa aseme wasanii wanatakiwa wawe na matunizi mazuri ya fedha zao na sio kuendekeza starehe, madawa ya kulevya na pombe na sio kushambulia watu eti wanasababisha wawe masikini, umasikini wanautaka wenyewe na madawa wanatumia wenyewe hakuna mtu anaewavutisha ni kwa starehe zao wenyewe.
 
Show ya Arusha cjui itakuwaje kutokana na ishu ya Lord eyes. Chuga walimsubiri aje kufanya show wamzingue. Bado Moro.
 
haya ni mapuzi ukiyauliza yanafurahia nini dimpoz kufanyiwa hivo eti kamtukana marehemu,. Wabongo akolizetu ndogo sana

sikia we bata maji, akoli zetu kweli inawezekana ni ndogo lakini akili zetu ni bright. Hili ni jukwaa la wabongo si la wamasai ka wewe
 
sikia we bata maji, akoli zetu kweli inawezekana ni ndogo lakini akili zetu ni bright. Hili ni jukwaa la wabongo si la wamasai ka wewe

akoli ndo nini we bright evu jieleze kama mtu unaejielewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…