Kwani ninyi huwa hamsutwi?Anaogopa kusutwa? Mtoto wa kiume? [emoji47][emoji47][emoji47]
Hata ndo me nashangaaHivi mwanaume unaanzaje kusutwa kwa mfano?
Huyu atakuwa mbea mbea ndio mana anaogopa kusutwa ha!h!ha!
Mwanaume na kusutwa wapi na wapi?
Hili neno "kusutwa" halifai kutamkwa na mwanaume katika nafsi ya kwanza umoja "ni"(Nita)na ukiona mtoto wa kiume anatamka hivyo "(nitasutwa)" tilia mashaka uanaume wake.....!!Kila mtu anakitu ambacho anakihofia zaidi maishani kwake. Kwa upande wa Ommy Dimpoz anachokihofia zaidi ni kusutwa.
"Kwa maisha ya kawaida naogopa zaidi kusutwa yaani mile neno la huku na huku umegusanisha nyaya" ommy alisema kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi na salama jabir aliongeza" sasa wanakufuata ueleze ilikuwaje hiko ndo kitu naogopa sana.
Najitahidi sana kunyoosha maelezo ninapoongea hata Mtu akienda kusema nipo radhi kusema "ndio uliniambia" kuliko ile uonekane umelipika bomu linaenda kulipuka hiko ndo naogopa".
View attachment 463097
Ommy dimpoz anafanya poa na wimbo wake na alikiba kajiandae
Kama umeangalia video ya Tupogo Remix, basi hautouliza hilo swaliOmari Nyembo Faraji Said Faraji si Mzaliwa wa Kigoma kazaliwa Ilala Mtaa Kigoma na hata Mama yake alikuwa Mwanamke wa kizaramo na hata Bab yake Mwenyewe alimtelekeza kaanza kumtafuta baada ya kusikia mwanae ni Maarufu.
Wivu tuu, bana na wew tuone dimpozMuone alivyobana midomo hili kuonyesha dimpozi..ha ha ha