Ommy Dimpoz ataja kitu anachokiogopa zaidi maishani kwake

Ommy Dimpoz ataja kitu anachokiogopa zaidi maishani kwake

Hivi mwanaume unaanzaje kusutwa kwa mfano?
Huyu atakuwa mbea mbea ndio mana anaogopa kusutwa ha!h!ha!
Mwanaume na kusutwa wapi na wapi?
Hata ndo me nashangaa
Hii tabia imeanza lin
 
Kitoto cha kiume kinajivunia dimpozi😛😛😛
 
Mpuuzi kweli. Yani mwanaume mzima badala aogope ata kufilisika eti anaogopa kusutwa.
Huenda maneno ya mondi yakawa na ukweli
 
Kila mtu anakitu ambacho anakihofia zaidi maishani kwake. Kwa upande wa Ommy Dimpoz anachokihofia zaidi ni kusutwa.

"Kwa maisha ya kawaida naogopa zaidi kusutwa yaani mile neno la huku na huku umegusanisha nyaya" ommy alisema kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi na salama jabir aliongeza" sasa wanakufuata ueleze ilikuwaje hiko ndo kitu naogopa sana.

Najitahidi sana kunyoosha maelezo ninapoongea hata Mtu akienda kusema nipo radhi kusema "ndio uliniambia" kuliko ile uonekane umelipika bomu linaenda kulipuka hiko ndo naogopa".

View attachment 463097
Ommy dimpoz anafanya poa na wimbo wake na alikiba kajiandae
Hili neno "kusutwa" halifai kutamkwa na mwanaume katika nafsi ya kwanza umoja "ni"(Nita)na ukiona mtoto wa kiume anatamka hivyo "(nitasutwa)" tilia mashaka uanaume wake.....!!
 
Omari Nyembo Faraji Said Faraji si Mzaliwa wa Kigoma kazaliwa Ilala Mtaa Kigoma na hata Mama yake alikuwa Mwanamke wa kizaramo na hata Bab yake Mwenyewe alimtelekeza kaanza kumtafuta baada ya kusikia mwanae ni Maarufu.
Kama umeangalia video ya Tupogo Remix, basi hautouliza hilo swali
 
Back
Top Bottom