Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,179
Linaitwa ''Tupogo.'' Huyu dogo amejaliwa sana kwa kweli.
ommy kamaliza muda wake mapema sana,,tatizo hana talent ya ukweli bas tu..kwa sasa madogo wanaoweza muzik ni diamond na belle huwa nawaaamini hawabaatishi.