Ommy Dimpoz atoa bonge la wimbo

Ommy Dimpoz atoa bonge la wimbo

Hakuna wimbo pale nyie shabikien tuu bt cjaona cha maaana.
 
wimbo mkali as kawaida yake,namkubali sana msanii anayekuwa consistent kwenye ubora wa nyimbo zake kama Dimpoz.Ukiangalia Nainai,Baadae,Me & U,Tupogo zote ziko level moja.Zote zinafaa kuitwa 'HIT'
 
nimeamini kubahatisha mwisho mara mbili.....zamu yake ya kubahatisha imeshamalizika katika nyimbo zake mbili huu TUPOGO hamna kitu na sitoshangaa akatoa ngoma nyingine fasta kuziba mapengo
 
Omy ametisha sana kwenye huu wimbo, nibalaa kwelikweli.Ombi langu tu atuletee video makini isiwe kama kwenye me n u
 
hakuna kitu, sijui tupogo nini hakuna alichoimba.
 
Kusema kweli nyimbo ya kawaida tu,inafaa kusikiliza wakati una njaa!sina bifu na dimpoz kwa poz ukweli ndo huo
 
Kwakwel hata mzuka wa kusikiliza nymbo yoyote ya huyu jamaa
 
Badala ya kumsupport mTanzania mwenzetu ndo kwaanza tunamponda dah!
 
Sababu mtz basi unataka tusapoti utumbo?, labda wewe lakini mimi siwezi!
 
mie sijaona pale, hakuna tofauti na nyimbo zake nyingine. Pia mashair machache sanaa. Anarudia rudia paka wimbo unakera
 
ommy kamaliza muda wake mapema sana,,tatizo hana talent ya ukweli bas tu..kwa sasa madogo wanaoweza muzik ni diamond na belle huwa nawaaamini hawabaatishi.

huyu dogo napenda wimbo wake wa "me n you basi"
 
Back
Top Bottom