Dimpoz hajasema kuwa Diamond kanunua viewers.mimi ni mtaalam wa youtube na nimewatengenezea baadhi ya wasanii accounts za youtube....kwenye website au channel ya youtube huwezi kununua trafic kwenye channel yenye matangazo ya google kama diamond au huwezi kutuma fake traffic kwenye channel yenye matangazo kama ya google na ukifanya hivyo google watakufungia account yako hata mwezi hautaisha...
*****MUHIMU******
1. Channel ya diamond youtube ndio bora na inayoheshimiza zaidi Tanzania nadhani na East Africa na ile ni verified na inalindwa sana na google.. Angalia ina kialama cha tiki tofauti na account nyingine.. Mpaka google wakaamua kumpa tuzo diamond wameshaikagua na kuona ina viewers original na sio wa kununua.. Kifupi ukiona video ya youtube ina matangazo ya google hapo ujue hakuna viewers wa kununua na ukijaribu kutuma fake traffic hata mara moja channel inafungiwa matangazo...Channel ya diamond haina viewer hata mmoja wa kununua kwa kua ina matangazo ya google.. Tatizo hawa wasanii wanaongea upuuzi na hawana elimu yoyote kuhusu technology ya youtube
ok na mimi sijasema kuwa dimpoz amesema diamond kanunua viewers nimemtolea diamond mfano.. kwamba kwenye youtube kwa hizi account zenye matangazo huwezi kununua viewers kwa kua haina manufaa yoyote zaidi ya account yako kufungiwa, kwa kua ukinunua viewers au uki-send fake traffic kwa software inakua ni hasara kwa google inakua kama unawadanyanya na unataka kuwaibia pesa zao..Dimpoz hajasema kuwa Diamond kanunua viewers.
Wanajua wenyewe wanafaidikaje. To some artist spotlight is their life. Without it they would die too soon.Hakuna cha ukweli apo ni porojo tu ununue views alafu unafaidika na nn
Ebu tuelekeze jinsi wanavonunua maana unaonekana unaujua huu mchezoWanajua wenyewe wanafaidikaje. To some artist spotlight is their life. Without it they would die too soon.
Mkuu hujawahi kusikia google ads? Na jinsi watu wanavyotengeneza hela mitandaoni na kuongeza umaarufu wa biashara zao?Ebu tuelekeze jinsi wanavonunua maana unaonekana unaujua huu mchezo
Mm nakuuliza jinsi ya hizo view zinavonunuliwa afu ww unaniletea maswala ya google ads.....nimekuuliza ni jinsi mtu anaweza kununua view YouTube ndo unielekezeMkuu hujawahi kusikia google ads? Na jinsi watu wanavyotengeneza hela mitandaoni na kuongeza umaarufu wa biashara zao?
sasa kama google ads hujui unadhani nikikiuelezea hii ya youtube utaelewa kweli? Kwanza unajua kama youtube na google zote ni mama mmoja? DaaaaahMm nakuuliza jinsi ya hizo view zinavonunuliwa afu ww unaniletea maswala ya google ads.....nimekuuliza ni jinsi mtu anaweza kununua view YouTube ndo unielekeze
Pumba tupusasa kama google ads hujui unadhani nikikiuelezea hii ya youtube utaelewa kweli? Kwanza unajua kama youtube na google zote ni mama mmoja? Daaaaah