Ommy Dimpoz Atoa dukuduku lake Baada ya Kutoa Ngoma Yake ya Kajiandae

Ommy Dimpoz Atoa dukuduku lake Baada ya Kutoa Ngoma Yake ya Kajiandae

mimi ni mtaalam wa youtube na nimewatengenezea baadhi ya wasanii accounts za youtube....kwenye website au channel ya youtube huwezi kununua trafic kwenye channel yenye matangazo ya google kama diamond au huwezi kutuma fake traffic kwenye channel yenye matangazo kama ya google na ukifanya hivyo google watakufungia account yako hata mwezi hautaisha...
*****MUHIMU******
1. Channel ya diamond youtube ndio bora na inayoheshimiza zaidi Tanzania nadhani na East Africa na ile ni verified na inalindwa sana na google.. Angalia ina kialama cha tiki tofauti na account nyingine.. Mpaka google wakaamua kumpa tuzo diamond wameshaikagua na kuona ina viewers original na sio wa kununua.. Kifupi ukiona video ya youtube ina matangazo ya google hapo ujue hakuna viewers wa kununua na ukijaribu kutuma fake traffic hata mara moja channel inafungiwa matangazo...Channel ya diamond haina viewer hata mmoja wa kununua kwa kua ina matangazo ya google.. Tatizo hawa wasanii wanaongea upuuzi na hawana elimu yoyote kuhusu technology ya youtube
Dimpoz hajasema kuwa Diamond kanunua viewers.
 
Dimpoz hajasema kuwa Diamond kanunua viewers.
ok na mimi sijasema kuwa dimpoz amesema diamond kanunua viewers nimemtolea diamond mfano.. kwamba kwenye youtube kwa hizi account zenye matangazo huwezi kununua viewers kwa kua haina manufaa yoyote zaidi ya account yako kufungiwa, kwa kua ukinunua viewers au uki-send fake traffic kwa software inakua ni hasara kwa google inakua kama unawadanyanya na unataka kuwaibia pesa zao..
 
Ishu ya fake/dead views kwenye youtube ipo. Scandal hii ishawakuta Universal music na Sony Music (record labels). Rihhana, Justin Bieber, Nick Minaj, Chris brown, Alicia Keys, Lady Gaga etc ni moja kati ya artists ambao walipitia hili suala baada ya Youtube kufuta zaidi ya fake views billion 2 za videos ambazo zilikuwa chini ya Universal music/Sony.

So yeah, fake views zipo, but kwa Africa, sidhani Aisee, we're not that big kwenye Youtube, most viewed African song on youtube ni personally ya Psquare na ina views million 64. Kwa wenzetu US/Europe hizo ni views za "kawaida" sana "hasa kwa wale artists wakubwa".

Hackers wapo kila sehem, Tanzania pia wapo, na kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa hili suala la kununua Views on youtube, but kwangu mimi sidhani kama mtu utakuwa unanunua views just kuishia kwenye 10millions views, huo utakuwa ni ujinga. Mtu ambaye ananunua views angehitaji views nyingi zaidi ya hapo. Ommy dimpoz yupo ndani ya industry, and anajua mengi kuliko sisi. But again hutakiwi kuongea hivi vitu kwenye public, hakuna atakayekuamini.
 
Alichosema Omari ni sawa na atuambie kuwa kuna Dalali wa SA kamwambia atoe pesa naye awe na nyumba SA.....unaweza ukatumia mwaka mzima kutafakari ameongea nini na usipate jibu.

Kumpa tu taarifa bw Omari...kupata subscribers iwe You tube au wapi..ni ruksa kuomba, kupiga magoti, kubembeleza n.k...na inashauriwa kila unapo post video yako basi ambatisha na ombi lako kwa Watu ili wa subscribe.

Kwa hiyo kama unaona mbinu ya kuwalipa watu ili wa subscribe ina work basi fanya hivyo hakuna atakayekuuliza, coz kila mtu si anaingia kwa akaunti yake.

Hivyo kama Omari unaweza kwenda kukaa pale Kariakoo na mabunda ya shilingi elfu kumi na kuwaambia watu akikupa noti ya elfu tano unampa noti ya elfu kumi...alafu mwisho wa siku iwe wewe ndio unayefaidika, basi hiyo ni zaidi ya mazingaombwe.
 
Mkuu hujawahi kusikia google ads? Na jinsi watu wanavyotengeneza hela mitandaoni na kuongeza umaarufu wa biashara zao?
Mm nakuuliza jinsi ya hizo view zinavonunuliwa afu ww unaniletea maswala ya google ads.....nimekuuliza ni jinsi mtu anaweza kununua view YouTube ndo unielekeze
 
Wala sishangai kama serikali imawanunua wabunge sembusea,hao wasanii makabwela kuwanunua malofa?
 
Mm nakuuliza jinsi ya hizo view zinavonunuliwa afu ww unaniletea maswala ya google ads.....nimekuuliza ni jinsi mtu anaweza kununua view YouTube ndo unielekeze
sasa kama google ads hujui unadhani nikikiuelezea hii ya youtube utaelewa kweli? Kwanza unajua kama youtube na google zote ni mama mmoja? Daaaaah
 
Amani kwako kaka Voda milionea

Waambie ndugu zako waache ushoga na umbea - Rip Langa
 
Back
Top Bottom