Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
afu we mchokodhi wewe ha ha ha unataka kusema gundu kalitoa wapi!!!
Alitaka kuleta mambo ya town kisomo kwa wale wajomba wa immigration pale airport, thubutu yake!.
Akuuu mie nashangaa mbona yamekuwa haya wakati kila muda twasikia wakienda vizuri na kurudi vizuri
Evelyn Salt
Funguka mkuu!.Unajua kilichomrudisha?
Unajua kilichomrudisha?
Unajua kilichomrudisha?
Funguka mkuu!.
Na ndiyo nachoipendea jf kila mahali kuna usalama wa taifa! hii ni saidi ya CIA mkuu funguka kama tumelishwa tango pori tujue!
Teh Teh
Aisee
Nasikia viza aliyokuwa amekata haikuwa ina mruhusu kufanya show nchini marekani! Inasemekana alitakiwa kukata viza ambayo inaonesha ana kwenda kufanya show nchini marekani na bila shaka gharama zake ni tofauti na ile ya kwenda kutembea!Viza aliyo kuwa amekata ilikuwa ya kwenda kutembea tuu na kusalimu ndugu na jamaa si kufanya show!
Sasa kilicho tokea alipo fika uwanja wa ndege akazuiwa kuingia nchini marekani kwani viza aliyo kuwa amekata ilikuwa haimruhusu kufanya show ni baada ya kuhojiwa!
Ninacho jiuliza kwanini watanzania tunafikiri kila sehemu tunaweza kufanya ujanja ujanja? Kwanini hatupendi kufata utaratibu?Bahati mbaya zaidi show ilikuwa imesha andaliwa na jana kama si juzi ilibidi afanye!
Yani mtu anataka pesa halafu anaogopa kuingia gharama kukata viza itakayo mruhusu kufanya show nchi ya watu!
Unaomba visa online na unatoa sababu inayokupeleka huko kwenye form. Ukiitwa kwenye usaili lazima uulizwe unaenda kufanya nini. Sasa kama kwenye form na kwenye usaili kajaza vingine na alipofika huko akasema vingine basi huo ndio ujinga wenyewe unaosemwa kila siku