fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Fanya kazi.
Itakusaidia nini ukishajua?au kutafutiana matusi?wewe uliyemuona huko ndio utuambie ulienda kufanya nini?jibu kaa nalo maana halina faida kwetu
hasara za kushiba ugali tembele mnakuja na nyuzi kama hizi
Nimemuona instagram braza kuuliza sio ujinga
Ni msanii nnaemkubali sana lazima nimfuatilie ili nijue japo haitoniongezea kituSamahani hv ukijua hii itakuongezea nn au kukupunguzia nn?
kwanini hukumuuliza mwenyewe huko ulikomuona?
Jamaa hapigi show lakini anaspend pesaa tu nje ya nchi hukoo...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona akiende USA huuliz?
Anaendaga kufanya kilichompeleka huko.
Alafu umejuaje kama wewe ni mdogo wetu?
Omy kaenda nchi nying tu...sasa kila nchi unataka ujue anachofanya mkuu?USA nliona kpindi kile yuko na King kiba na walikua na show