Ommy Dimpoz huwa anaenda Mombasa, Kenya mara kwa mara kufanya nini?

Ommy Dimpoz huwa anaenda Mombasa, Kenya mara kwa mara kufanya nini?

HABARI ZENU WAKUU

Kama heading inavyosomeka hapo juu, kiukweli me nimekuwa najiuliza huyu braza Ommy Dimpozi huwa anaendaga Mombasa kupiga show au kufanya nini? Na yule Gavana (Joho) ndo anayemtafutia show huko Kenya au vipi? Maana kila akienda Kenya lazma yuko naye.

Hebu naomba nielewesheni mdogo wenu nielewe.
Fanya kazi...acha kufuatilia maisha ya watu..kufuatilia maisha ya watu wengine ni uchawi pia
 
Back
Top Bottom