harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Nimecheki lakini amna mahali panapoleta hualali wa wewe kua mdogo wetu mkuu.Tafuta thread zangu za nyuma mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheki lakini amna mahali panapoleta hualali wa wewe kua mdogo wetu mkuu.Tafuta thread zangu za nyuma mzee
Hata huwa najiuliza huwa haishiwi trip za kwenda kuspend america, ulaya, na hapo Kenya ilhali show zake nadra je, pesa za kuspend hupata wapi?Jamaa hapigi show lakini anaspend pesaa tu nje ya nchi hukoo...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mifukoHata huwa najiuliza huwa haishiwi trip za kwenda kuspend america, ulaya, na hapo Kenya ilhali show zake nadra je, pesa za kuspend hupata wapi?
Hahahaha nimecheka sana mkuu daa , HUMAN RIGHTS 😛😀Kuna kitu unatulazimisha tujibu lakni ng'ooooo hatujibu kama unavotaka wewe..... HUMAN RIGHTS
Nimecheki lakini amna mahali panapoleta hualali wa wewe kua mdogo wetu mkuu.
anapakuliwa na gavana
Omy kaenda nchi nying tu...sasa kila nchi unataka ujue anachofanya mkuu?
Nimtwangie kivipi Mkubwa. ?mtwangie
Chakuraaaa.
Hapo nimekuelewa bro mjadala ufungwe tuBado yupo kwenye uangalizi wa Madaktari, na ni JOHO anayemuhudumia matibabu yake.
[emoji3][emoji3]Kuna kitu unatulazimisha tujibu lakni ng'ooooo hatujibu kama unavotaka wewe..... HUMAN RIGHTS
Fanya kazi...acha kufuatilia maisha ya watu..kufuatilia maisha ya watu wengine ni uchawi piaHABARI ZENU WAKUU
Kama heading inavyosomeka hapo juu, kiukweli me nimekuwa najiuliza huyu braza Ommy Dimpozi huwa anaendaga Mombasa kupiga show au kufanya nini? Na yule Gavana (Joho) ndo anayemtafutia show huko Kenya au vipi? Maana kila akienda Kenya lazma yuko naye.
Hebu naomba nielewesheni mdogo wenu nielewe.