HABARI ZENU WAKUU
Kama heading inavyosomeka hapo juu, kiukweli me nimekuwa najiuliza huyu braza Ommy Dimpozi huwa anaendaga Mombasa kupiga show au kufanya nini? Na yule Gavana (Joho) ndo anayemtafutia show huko Kenya au vipi? Maana kila akienda Kenya lazma yuko naye.
Hebu naomba nielewesheni mdogo wenu nielewe.