Ommy Dimpoz kaachia video ya wimbo wake

Huu wimbo ulishasahaulika aisee...
Ngja tukaucheki
 
Wimbo umetoka juzi, unatuletea habari zake Leo... Kweli kick zinawenyewe
 
Bora aimbe kibao kata tu tujue moja.
 
Kwan dimpoz nae bado msanii???Acha nicheke mie
 
Mwenzake kaitumia kiki ya Diamond vizuri sa hivi anapiga hela fiesta




Yeye sijui kachelewa wapi,DIAMOND AKISHAKUPA KIKI UNATAKIWA USICHELEWE UNAJIONGEZA UNATOA NGOMA YOYOTE KISHA UNATAFUTA HELA YA KULA KAMA KIBAKULI


Ndivyo maisha ya wasanii waliochuja wanafanyaga hivyo
 
ile nyimbo ya ommy cheche video hii hapa sasa kama bado hamjaiona. maoni tafadhali
Hii nyimbo wengi naona hawajaielewa labda kwa sababu walikua wameshazoea Omari aliekua kwa Mobenga. ila hii naona iko poa hasa ujumbe aliouwasilisha. nyimbo iko vizuri kwa miondoko isiochezeka, na ameigusa jamii kwa namna moja ama nyingine. Hasa mabinti wanaotoka from zero to hero na kusahau walikotokea.
 
Nayeye kasajiliwa Fiesta kama mchekeshaji (according to b12)
 
Wimbo mzuri sana sema tangu nimesikia kagandamizia hadi melody umenitoka
 
kwa msanii kama Dimpoz kusimamiwa na mtu kama Kibakuli yani hainiingi akilini kabisa bora angebaki na meneja wake yule yule au angeform record label yake kama mondi alivyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…