Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Ommy Dimpoz kaachia video ya wimbo wake uitwao Cheche... Video ni nzur
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MCHELE MCHELEOmmy Dimpoz kaachia video ya wimbo wake uitwao Cheche... Video ni nzur
Bila shaka ww ni mwenyekiti wa itikadi na uenezi wa chama fulani hapa nnchiniVideo ya hadhi ya chini sana
Sawa.....Ila kueni na heshima na baba enuKwan dimpoz nae bado msanii???Acha nicheke mie
video nzuri nmeikubali.Ommy Dimpoz kaachia video ya wimbo wake uitwao Cheche... Video ni nzur
Nayeye kasajiliwa Fiesta kama mchekeshaji (according to b12)Mwenzake kaitumia kiki ya Diamond vizuri sa hivi anapiga hela fiesta
Yeye sijui kachelewa wapi,DIAMOND AKISHAKUPA KIKI UNATAKIWA USICHELEWE UNAJIONGEZA UNATOA NGOMA YOYOTE KISHA UNATAFUTA HELA YA KULA KAMA KIBAKULI
Ndivyo maisha ya wasanii waliochuja wanafanyaga hivyo
ile nyimbo ya ommy cheche video hii hapa sasa kama bado hamjaiona. maoni tafadhali
Hii nyimbo wengi naona hawajaielewa labda kwa sababu walikua wameshazoea Omari aliekua kwa Mobenga. ila hii naona iko poa hasa ujumbe aliouwasilisha. nyimbo iko vizuri kwa miondoko isiochezeka, na ameigusa jamii kwa namna moja ama nyingine. Hasa mabinti wanaotoka from zero to hero na kusahau walikotokea.