Ommy Dimpoz kabla hajatoka

Ommy Dimpoz kabla hajatoka

Hahahahahaha!Kilicho nifurahisha kwenye hii picha ni kugundua toka zamani alikuwa mtu mwenye furaha na mtundu!
Kweli ametoka mbali!
 
Kama yule chokoraa Wa Tandale anaedai Mbeya hakuna hotel ya hadhi yake....

Hao hawana tofauti na kima.
Asee kila mtu kaanzia chini kama Diamond anasema hakuna hotel ya hadhi yake usikasirike kwa sababu hayo ni maoni yake, pengine hadhi yake ni chini sana na hotel za mbeya zipo juu sana au pengine hupenda kukaa kwnye ghorofa nzuri zilizokuwa na lifti maana mbeya lifti ipo moja tu..

Nachomaanisha usimind kauli yake..
 
Siwezi wakasirikia watu wenye akili za kuficha uchi tu ambacho ndo kitu pekee kinachowatofautisha na wanyama.....
 
Ameuvaa vizuri uhusika wa watu wa kigoma. Nimefurahishwa jinsi alivyopangilia yeboyebo, juu jeans ya mtumba tena pedo, koti juu ya jezi ya leverpool na akaua kwenye shangazi kaja... hahahahahaaaah. Kweli maisha ni safari ndefu yenye milima na mabondo. Mtoto wa mkulima kataabika sana mpaka KULA MBUNYE wa Vanessa kapita mbali. We usiwaone akina ndomo wanashobokewa na maserebriti wa kike ukamaindi sana, waache wale raha za dunia kwani wameshateseka sana huko walikotoka.

Picha kama hizi ni shule tosha kwetu ambao bado tunasota na maisha.
 
Picha inasema yote
 
Attachments

  • 1412965061659.jpg
    1412965061659.jpg
    57.5 KB · Views: 604
Mods iunganisheni na ile thread nyingine nilikuwa sijaiona
 
Huyo ndio Yule anae vuta unga eeh au nimechanya madawa?
 
Ha ha ha kweli kaanza mbali na fuko lake ndo alikua anatoka mwisho wa reli kuja mjini
 
Hebu mleta uzi utuambie hapo ndio jamaa anatoka KG au anarudi ?

Na ndani ya hiyo "SAMSONITE" kumesheheni nguo au Dagaa/Migebuka ?
 
Hebu mleta uzi utuambie hapo ndio jamaa anatoka KG au anarudi ?

Na ndani ya hiyo "SAMSONITE" kumesheheni nguo au Dagaa/Migebuka ?

hapo bila shaka...ndo anatua tazara akipokewa na T.I.D mnyama na mobenga kutoka leka dutigite...
 
Back
Top Bottom