Asee kila mtu kaanzia chini kama Diamond anasema hakuna hotel ya hadhi yake usikasirike kwa sababu hayo ni maoni yake, pengine hadhi yake ni chini sana na hotel za mbeya zipo juu sana au pengine hupenda kukaa kwnye ghorofa nzuri zilizokuwa na lifti maana mbeya lifti ipo moja tu..Kama yule chokoraa Wa Tandale anaedai Mbeya hakuna hotel ya hadhi yake....
Hao hawana tofauti na kima.
Asee kila mtu kaanzia chini kama Diamond anasema hakuna hotel ya hadhi yake usikasirike kwa sababu hayo ni maoni yake, pengine hadhi yake ni chini sana na hotel za mbeya zipo juu sana au pengine hupenda kukaa kwnye ghorofa nzuri zilizokuwa na lifti maana mbeya lifti ipo moja tu..
Nachomaanisha usimind kauli yake..
Kama yule chokoraa Wa Tandale anaedai Mbeya hakuna hotel ya hadhi yake....
Hao hawana tofauti na kima.
Hebu mleta uzi utuambie hapo ndio jamaa anatoka KG au anarudi ?
Na ndani ya hiyo "SAMSONITE" kumesheheni nguo au Dagaa/Migebuka ?