Hiyo pendo na rangi za kike!!!!! Inaaashiria nini hiyo?
na mm ndo nashangaaa hapo...yupo nje jamaaa anasema kabla hajatoka
Hapo kwa mbulumundu kumeniacha hoi chezeiya mashabiki maandazi
Hahahaaaaa uwiiiii mi nampenda sana linex nakumbuka one day alshawah kusimulia jinc alvofika dar kwa kuungaunga, aljikuta anaingia dar na yeboyebo japo altoka kwao na viatuKesho atawaponda wanaobeba sandarusi
Jamaa nasikia alikua ni mfanyabiashara mzuri sana wa Dagaa wa Kigoma kwenye train sijui alikwenda kwenye mziki kufanya nini!
Duh kweli maisha yanakua na background......dimpoz hiyo picha kwa haraka lazima utahisi ni mvuvi au muuza migebuka